Nataka kuamini Dkt. Mataragio si mwanasiasa, ni Msomi anayejikita katika utaalamu wa alichosomea

Nataka kuamini Dkt. Mataragio si mwanasiasa, ni Msomi anayejikita katika utaalamu wa alichosomea

Watu wengi kama wewe hawajui mchango wa tpdc kwenye uchumi ama maisha yao ya kila siku.

Watu wengi wanaijua TANESCO ola hawajui wanaoispoti tanesco kwenye kazi zake ni kina nani.

Kwa kukusaidia, umeme unauona unawaka nchi hii 60% unatokana na gas na hiyo gas mmiliki wake ni tpdc.

Tpdc anaiuzia gas tanesco kwenye mitambo yake ya kinyerezi, ubungo na pia tpdc anaiuzia gas songas ambayo inazalisha umeme inauizia tanesco.

Kws hiyo zaidi ya 60% ya umeme unatokana na gas na mmiliki wa hiyo gas ni tpdc.

Tpdc ni kampuni yenye makusanyo ghafi zaidi ya bilioni 600 kwa mwaka, maana yake inakusanya zaidi ya bilioni 50 kwa mwezi kutokana nakuuza gas.

Pamoja na hilo tpdc ndiyo yenye mamlaka ya kusimamia utafiti na uchimbaji wa gas na mafuta kwenye ardhi ya Tanzania.

Sheria ya mafuta ya mwaka 2015 iliipa tpdc mamlaka ya kua shirika la mafuta la taifa, hivyo inatakiwa ianxe biashara ya kuagiza na kuuza mafuta kwa jumla na rejareja(bulk and retail) na sheria inaitaka tpdc iwe na umiliki wa 50% ama zaidi wa mafuta yanayoingizwa hapa nchini. Ndio maana unaona wameanza biashara ya kuuza mafuta, wameanzisha sheli(vituo vya kuuza mafuta) zao na wanatakiwa kila mwaka kujenga ama kurent/lease sheli 5 kwa mwaka.

Unaona kwa uchache tpdc ina ulaji mwingi sana maana wana mamlaka kama hawawezi jambk basi walipeleke kwenye private sector kwa sharing agreements. Unaona hapo jinsi kuna potentail ya mikataba ya mafuta, gas na mambo kama hayo.

Mataragio toka ameingia pale amekua kikwazo kwa madalali na wapiga deal ambao wanataka mtu wao awepo pale awapitishie deals, mikataba na mambo kama hayo watajirike haraka. Ndio maana unaona kila siku zengwe juu yake.
Hivi vituo vya kuwekea mafuta ya Tpdc vinapatikana wapi kwa hapa Mjini DSM!? Na vimeandikwa jina gani!?
 
Huyu Bw. ana maadui wengi sana hasa kwny bodi ya TPDC
Mapapa ya biashara ya Mafuta yanatamani leo kesho achomolewe pale

Allah aendelee kumlinda na kila shari na kila husda kwa maslahi ya Nchi yetu
Ndiyo maana mama anapelekewa hadi cv za kutoka chuo kikuu cha Yohana. Dah
 
It is entirely by the intervention of Christ's righteousness that we obtain justification before God.
We no longer obtain but rather...., "we obtained". This means that we do not have to find anymore because, "we already have"
 
Huyu Bw. ana maadui wengi sana hasa kwny bodi ya TPDC
Mapapa ya biashara ya Mafuta yanatamani leo kesho achomolewe pale

Allah aendelee kumlinda na kila shari na kila husda kwa maslahi ya Nchi yetu
Mungu amlinde wasije muua aisee, kapitia changamoto sana
 
Hata Mimi nimesikitika Sana aisee. [emoji3][emoji3]Hyo ya mtakatifu Yohana ndo hatari Sana ya danger
Mkurugenzi wa TPDC hata kuandika cv yake hajui.

Analeta mambo ya chuo kikuu cha mtakatifu Yohana kwenye mambo serious ya kitaifa.

Ila aliyependekeza hili jina kwa rais anapaswa kuondolewa haraka sana ofisini hayuko serious na mambo ya kitaifa.
 
Huyu Bw. ana maadui wengi sana hasa kwny bodi ya TPDC
Mapapa ya biashara ya Mafuta yanatamani leo kesho achomolewe pale

Allah aendelee kumlinda na kila shari na kila husda kwa maslahi ya Nchi yetu
Umenifungua macho
 
Kuna Dada pale TIC alipoingia Mzalendo alimfukuza kwa kosa la kutolipwa Mshahara tukashangilia sana
Hii iliniuma sana.
Tulijiita wazalendo tusiowapenda wazalendo.
Mfano huyo dada utamwambia nini kuhusu uzalendo atakuelewe?
Prof. Muhongo aliyeacha kazi yake yenye maslahi na kurudishwa kuja kutumia uzoefu wake nyumbani utamweleza nini akuelewe?
Siasa za nchi hii ni sawa na UKOMA
 
Mkurugenzi wa TPDC hata kuandika cv yake hajui.

Analeta mambo ya chuo kikuu cha mtakatifu Yohana kwenye mambo serious ya kitaifa.

Ila aliyependekeza hili jina kwa rais anapaswa kuondolewa haraka sana ofisini hayuko serious na mambo ya kitaifa.
[emoji3][emoji3] Huyo aliingiza tu makusudi mazima, nadhani kuna watu ndani ya system bado hawaaamini mama Kama ni Rais, inabidi asafishe na aweke watu loyal aisee. Haijawahi tokea nafasi kubwa ateuliwe kijana wa uvccm
 
Tafta CV yake utamuelewa.

Ni msomi na mtaalamu wa kiwango chajuu sana.

Wasifu(CV) wa Dkt. James Mataragio

Bell Geospace geoscientist appointed Director General of TPDC

Bell Geospace has announced that one of their valued geoscientists, Dr James Mataragio has been appointed to the post of Director General of the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) by President Jakaya, effective 15th December 2014. During his tenure at Bell Geospace, Dr Mataragio has been exposed to a variety of mineralisation and hydrocarbon projects, which have contributed to the skill set and experience required by TPDC for the role of Director General.

The appointment of Dr Mataragio, who has worked for Bell Geospace since 2004, was announced in a statement issued by Chief Secretary, Ambassador Ombeni Sefue, adding that Dr Mataragio is among a few experts in minerals, oil and natural gas in diaspora who volunteered advice to the government on development of the sector. The chief secretary further said the president was optimistic that Dr Mataragio will use his education, experience and expertise to overhaul TPDC to become a real development engine and take the nation’s economy to new heights.

In his ten years with Bell Geospace, Dr Mataragio has worked with a number of major international oil and gas firms, including Petrobras (Brazil); BP; Anadarko; Pitkin (Philippines and Peru); Tullow Oil; Pemex (Mexico); ANP (Brazil), Ecopetrol (Colombia); Petronas (Malaysia) and Vale Rio Doce.

Scott Hammond, CEO of Bell Geospace, says “While we will be sad to lose such a valued member of our geoscience team, we are delighted that James is going on to such an important role in the future of petroleum development in Tanzania, and this appointment is a tribute to the sterling work that he has done, both for Bell Geospace and prior to studying for a PhD his work in Tanzania for Anglo Gold and Anglo American. We will be following his progress with great interest, and are sure that he will bring a breadth of skill and experience to this role that will ensure that TPDC has a significant impact on exploration and production in Tanzania”.
Kwa cv hii ndiyo kna mtu alitaka kupewa nafasi ya ukuu hapo TPDC

Ova
 
[emoji3][emoji3] Huyo aliingiza tu makusudi mazima, nadhani kuna watu ndani ya system bado hawaaamini mama Kama ni Rais, inabidi asafishe na aweke watu loyal aisee. Haijawahi tokea nafasi kubwa ateuliwe kijana wa uvccm
Nafikiri kuna syndicate walitaka kuweka mtu wao pale TPDC au dhaifu wanayeweza kumyumbisha wanavyopenda
 
Daah! Huyu Mkurugenzi ana CV nzito sana kwakweli anastahili kuwa hapo, na nimpongeze Mh. Rais Samia kwa kuchukua maamuzi ya kutengua uteuzi wa unqualified person na kumrudisha mwenye sifa zinazotakiwa kuongoza TPDC.

Funzo: Tuheshimu profession za watu watumia muda mwingi kujijengea hizo sifa sasa from no where tunapoweka majungu ili kuweka watu wasio stahili ni HASARA KWA TAIFA.
 
Huyu Bw. ana maadui wengi sana hasa kwny bodi ya TPDC
Mapapa ya biashara ya Mafuta yanatamani leo kesho achomolewe pale

Allah aendelee kumlinda na kila shari na kila husda kwa maslahi ya Nchi yetu
Ati wanakachomeka kale kafisadi kamemaliza shule juzi tu hakajawahi fanya kazi popote ati akawe DG? Hata hao waliompa u DSO walifanya hivyo ili malengo ya ushindi wa uchaguzi 2020 yatimie tu basi
 
Huyu bwana ni sawa na Dr Chamriho wa wizara ya Ujenzi.. they are so quit but productive
Alianza na Kikwete, akaja tenguliwa kipindi fulani. Dkt. Magufuli akamrudisha. Jana akatenguliwa leo Mh. Samia kamrudisha.

Najiuliza huyu Bwana ni nani? Utendaji wake ukoje? Napata mawazo huyu anaweza kuwa ni mmoja ya wasomi wachache ambao wanafanya kazi kitaalamu yaani yeye ni mfuasi wa taaluma yake.

Kwa maana hajiambatanishi na kiongozi yeyote zaidi ya kile anachopaswa kukifanya hivyo kila kiongozi akija inakuwa rahisi kufanya naye kazi.

Mwenye habari zake zaidi atusaidie.
 
Huyu bwana ni sawa na Dr Chamriho wa wizara ya Ujenzi.. they are so quit but productive
Hawa wote no watu wa Musoma, inaonekana jamaa wapo vizuri sana katika mambo ya utumishi, na wanaamika sana na ndio maana zamani walijaa sana jeshini kwa usminifu
 
Hivi vituo vya kuwekea mafuta ya Tpdc vinapatikana wapi kwa hapa Mjini DSM!? Na vimeandikwa jina gani!?
Kwa hapa Dar nadhani hakuna ila najua kipo Geita, Musoma, Singida, Korogwe pale mkata na nadhani kingine kiko Mto wa mbu kama sijakosea.

Sijajua kuna vipya vimeanza ila najua wana malengo ya kuanzisha vituo 5 kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom