Nataka kuamini Dkt. Mataragio si mwanasiasa, ni Msomi anayejikita katika utaalamu wa alichosomea

Hivi vituo vya kuwekea mafuta ya Tpdc vinapatikana wapi kwa hapa Mjini DSM!? Na vimeandikwa jina gani!?
 
Huyu Bw. ana maadui wengi sana hasa kwny bodi ya TPDC
Mapapa ya biashara ya Mafuta yanatamani leo kesho achomolewe pale

Allah aendelee kumlinda na kila shari na kila husda kwa maslahi ya Nchi yetu
Ndiyo maana mama anapelekewa hadi cv za kutoka chuo kikuu cha Yohana. Dah
 
It is entirely by the intervention of Christ's righteousness that we obtain justification before God.
We no longer obtain but rather...., "we obtained". This means that we do not have to find anymore because, "we already have"
 
Huyu Bw. ana maadui wengi sana hasa kwny bodi ya TPDC
Mapapa ya biashara ya Mafuta yanatamani leo kesho achomolewe pale

Allah aendelee kumlinda na kila shari na kila husda kwa maslahi ya Nchi yetu
Mungu amlinde wasije muua aisee, kapitia changamoto sana
 
Hata Mimi nimesikitika Sana aisee. [emoji3][emoji3]Hyo ya mtakatifu Yohana ndo hatari Sana ya danger
Mkurugenzi wa TPDC hata kuandika cv yake hajui.

Analeta mambo ya chuo kikuu cha mtakatifu Yohana kwenye mambo serious ya kitaifa.

Ila aliyependekeza hili jina kwa rais anapaswa kuondolewa haraka sana ofisini hayuko serious na mambo ya kitaifa.
 
Huyu Bw. ana maadui wengi sana hasa kwny bodi ya TPDC
Mapapa ya biashara ya Mafuta yanatamani leo kesho achomolewe pale

Allah aendelee kumlinda na kila shari na kila husda kwa maslahi ya Nchi yetu
Umenifungua macho
 
Kuna Dada pale TIC alipoingia Mzalendo alimfukuza kwa kosa la kutolipwa Mshahara tukashangilia sana
Hii iliniuma sana.
Tulijiita wazalendo tusiowapenda wazalendo.
Mfano huyo dada utamwambia nini kuhusu uzalendo atakuelewe?
Prof. Muhongo aliyeacha kazi yake yenye maslahi na kurudishwa kuja kutumia uzoefu wake nyumbani utamweleza nini akuelewe?
Siasa za nchi hii ni sawa na UKOMA
 
Mkurugenzi wa TPDC hata kuandika cv yake hajui.

Analeta mambo ya chuo kikuu cha mtakatifu Yohana kwenye mambo serious ya kitaifa.

Ila aliyependekeza hili jina kwa rais anapaswa kuondolewa haraka sana ofisini hayuko serious na mambo ya kitaifa.
[emoji3][emoji3] Huyo aliingiza tu makusudi mazima, nadhani kuna watu ndani ya system bado hawaaamini mama Kama ni Rais, inabidi asafishe na aweke watu loyal aisee. Haijawahi tokea nafasi kubwa ateuliwe kijana wa uvccm
 
Kwa cv hii ndiyo kna mtu alitaka kupewa nafasi ya ukuu hapo TPDC

Ova
 
[emoji3][emoji3][emoji3] aliyechomekea hyo kitu afukuzwe anataka kumfanya Rais achafuke aisee
Ingekuwa miye nawaapisha na kumtoa aliyeleta jina ili iwe funzo mxiiiuuu zao
 
[emoji3][emoji3] Huyo aliingiza tu makusudi mazima, nadhani kuna watu ndani ya system bado hawaaamini mama Kama ni Rais, inabidi asafishe na aweke watu loyal aisee. Haijawahi tokea nafasi kubwa ateuliwe kijana wa uvccm
Nafikiri kuna syndicate walitaka kuweka mtu wao pale TPDC au dhaifu wanayeweza kumyumbisha wanavyopenda
 
Daah! Huyu Mkurugenzi ana CV nzito sana kwakweli anastahili kuwa hapo, na nimpongeze Mh. Rais Samia kwa kuchukua maamuzi ya kutengua uteuzi wa unqualified person na kumrudisha mwenye sifa zinazotakiwa kuongoza TPDC.

Funzo: Tuheshimu profession za watu watumia muda mwingi kujijengea hizo sifa sasa from no where tunapoweka majungu ili kuweka watu wasio stahili ni HASARA KWA TAIFA.
 
Huyu Bw. ana maadui wengi sana hasa kwny bodi ya TPDC
Mapapa ya biashara ya Mafuta yanatamani leo kesho achomolewe pale

Allah aendelee kumlinda na kila shari na kila husda kwa maslahi ya Nchi yetu
Ati wanakachomeka kale kafisadi kamemaliza shule juzi tu hakajawahi fanya kazi popote ati akawe DG? Hata hao waliompa u DSO walifanya hivyo ili malengo ya ushindi wa uchaguzi 2020 yatimie tu basi
 
Huyu bwana ni sawa na Dr Chamriho wa wizara ya Ujenzi.. they are so quit but productive
 
Huyu bwana ni sawa na Dr Chamriho wa wizara ya Ujenzi.. they are so quit but productive
Hawa wote no watu wa Musoma, inaonekana jamaa wapo vizuri sana katika mambo ya utumishi, na wanaamika sana na ndio maana zamani walijaa sana jeshini kwa usminifu
 
Hivi vituo vya kuwekea mafuta ya Tpdc vinapatikana wapi kwa hapa Mjini DSM!? Na vimeandikwa jina gani!?
Kwa hapa Dar nadhani hakuna ila najua kipo Geita, Musoma, Singida, Korogwe pale mkata na nadhani kingine kiko Mto wa mbu kama sijakosea.

Sijajua kuna vipya vimeanza ila najua wana malengo ya kuanzisha vituo 5 kwa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…