Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki Dar kutoka Morogoro Ifakara

Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki Dar kutoka Morogoro Ifakara

BrazakakaBura

Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
88
Reaction score
104
Heshimu kwenu wakuu
Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki dar kutoka moro ifakara niuze kwa bei ya jumla 4000 na rejareja 5000 ni samaki wakubwa waliobanikwa vizuri...

nakaribisha maoni na ushauri..
Mungu awabariki wote wenye nia njema [emoji120]
 
4000 kwa kilo au mmoja mmoja.. Na wana ukubwa gani na ni samaki aina gani...
 
Heshimu kwenu wakuu
Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki dar kutoka moro ifakara niuze kwa bei ya jumla 4000 na rejareja 5000 ni samaki wakubwa waliobanikwa vizuri...
nakaribisha maoni na ushauri..
Mungu awabariki wote wenye nia njema [emoji120]
leta picha na samaki wa aina gani tafadhali
 
Sawa mkuu nitatuma saiz niko chuo

Maliza kwanza shule, mshika mawili moja humponyoka..

Unapo anzisha biashara mpya ni lazima usimamie wewe mwenyewe ili kujua ABC zake na kuweza ku execute strategy zako vilivyo, otherwise utafeli.
 
Najisomesha kwa njia hizi mkuu ujasiliamali mdg mdg hata kumwaga Zege Au kazi yoyote tu so naunga unga tu mkuu

Ok, kama ni hvo mkuu chukua ushauri watu watakao kupa, sina experience na samaki hata kidogo
 
Usilichukue kwa 100%

Naamini utapata wateja. Being hiyo ni nzuri Sana huwa tunanua Hadi elfu 12

Ni kweli mkuu kama hapa posta hadi 15k wanauza sasa mimi nataka faida ata kidogo tu ili mradi mzunguko uwe mzuri
Nimemjibu vile coz sitaki kumdisapoint kwani kaonesha ushirikiano
 
Mkuuu hao wakubwa hivyo wanasumbua kutoka
Tafuta wale wanaouza 1000 au 2000
Ukipata perege na kambale waliokaushwa vizuri nitafute pm
 
Mkuuu hao wakubwa hivyo wanasumbua kutoka
Tafuta wale wanaouza 1000 au 2000
Ukipata perege na kambale waliokaushwa vizuri nitafute pm

Na kitoga kama sijakosea
 
Back
Top Bottom