Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki Dar kutoka Morogoro Ifakara

Kila la kheri katika kuanzisha biashara mpya ya samaki.
Umemtia moyo vzr...lakini hajatuambia masuala mazima ya vibali na leseni....maana kimsingi "malighafi" hii inaweza kuhusianishwa na suala la uvuvi haramu hasa pande za Selous....
 
Mkuuu hao wakubwa hivyo wanasumbua kutoka
Tafuta wale wanaouza 1000 au 2000
Ukipata perege na kambale waliokaushwa vizuri nitafute pm
Umemshauri vizuri aufanyie kazi ushauri huu!

Ingawa hii biashara nayo Sasa hivi Tangu aingie mpina wanabana sana Halafu hiyo barabara ukaguzi kibao wanahisi Watu watakua wanasafirisha nyala za serikali kutoka mahenge (kwenye madini) Na Selous mbugani!
 
Umemtia moyo vzr...lakini hajatuambia masuala mazima ya vibali na leseni....maana kimsingi "malighafi" hii inaweza kuhusianishwa na suala la uvuvi haramu hasa pande za Selous....
Fact umeongea, kikubwa azingatie taratibu zote pale anapotaka kuiendea biashara yake as you adviced her above..
Muite aje aione komenti yako.
 
Mkuuu hao wakubwa hivyo wanasumbua kutoka
Tafuta wale wanaouza 1000 au 2000
Ukipata perege na kambale waliokaushwa vizuri nitafute pm

Sawa mkuu nitakupa updates na kama una cha kunishauri zaidi usinyamaze
Mungu akubariki
 
Umemtia moyo vzr...lakini hajatuambia masuala mazima ya vibali na leseni....maana kimsingi "malighafi" hii inaweza kuhusianishwa na suala la uvuvi haramu hasa pande za Selous....

Wako wenye Vibari hao ndo wanaowaandaa huko mtoni mkuu
 
Fact umeongea, kikubwa azingatie taratibu zote pale anapotaka kuiendea biashara yake as you adviced her above..
Muite aje aione komenti yako.

Nishaona mkuu na nishamjibu asanteni kwa ushirikiano wenu
[emoji851][emoji851]but unfortunately mi sio mschana naona umetumia "her"
 
Soko zuri kwa samaki Peleka Ilala, pale unaamka Alfajiri unauza kwa jumla kwa watu wa Magengeni, mpaka saa tatu asubuhi unakua umemaliza kazi na aunaweza kwenda kufanya ishu nyingine mpaka kesho tena.
 
Asante mkuu [emoji110]️[emoji110]️[emoji110]️ ngoja nipitie apo nipate ABC za hapo
Nakushukuru kwa ushirikiano wako
 
Mkuu weka Picha au bado uko Chuo?
 
Back
Top Bottom