BrazakakaBura
Member
- Feb 16, 2017
- 88
- 104
leta picha na samaki wa aina gani tafadhaliHeshimu kwenu wakuu
Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki dar kutoka moro ifakara niuze kwa bei ya jumla 4000 na rejareja 5000 ni samaki wakubwa waliobanikwa vizuri...
nakaribisha maoni na ushauri..
Mungu awabariki wote wenye nia njema [emoji120]
Mkuu bora ufungue genge kuliko biashara hyo. Utaangukia pua.
4000 kwa kilo au mmoja mmoja.. Na wana ukubwa gani na ni samaki aina gani...
leta picha na samaki wa aina gani tafadhali
Sawa mkuu nitatuma saiz niko chuo
Maliza kwanza shule, mshika mawili moja humponyoka..
Unapo anzisha biashara mpya ni lazima usimamie wewe mwenyewe ili kujua ABC zake na kuweza ku execute strategy zako vilivyo, otherwise utafeli.
Najisomesha kwa njia hizi mkuu ujasiliamali mdg mdg hata kumwaga Zege Au kazi yoyote tu so naunga unga tu mkuu
Ok, kama ni hvo mkuu chukua ushauri watu watakao kupa, sina experience na samaki hata kidogo
Kwanini ataangukia pua??Mkuu bora ufungue genge kuliko biashara hyo. Utaangukia pua.
Usilichukue kwa 100%Asante kwa ushauri mkuu
Usilichukue kwa 100%
Naamini utapata wateja. Being hiyo ni nzuri Sana huwa tunanua Hadi elfu 12
Mkuuu hao wakubwa hivyo wanasumbua kutoka
Tafuta wale wanaouza 1000 au 2000
Ukipata perege na kambale waliokaushwa vizuri nitafute pm