Mkyashinho
Senior Member
- Jan 16, 2017
- 148
- 111
Umemtia moyo vzr...lakini hajatuambia masuala mazima ya vibali na leseni....maana kimsingi "malighafi" hii inaweza kuhusianishwa na suala la uvuvi haramu hasa pande za Selous....Kila la kheri katika kuanzisha biashara mpya ya samaki.
Umemshauri vizuri aufanyie kazi ushauri huu!Mkuuu hao wakubwa hivyo wanasumbua kutoka
Tafuta wale wanaouza 1000 au 2000
Ukipata perege na kambale waliokaushwa vizuri nitafute pm
Fact umeongea, kikubwa azingatie taratibu zote pale anapotaka kuiendea biashara yake as you adviced her above..Umemtia moyo vzr...lakini hajatuambia masuala mazima ya vibali na leseni....maana kimsingi "malighafi" hii inaweza kuhusianishwa na suala la uvuvi haramu hasa pande za Selous....
Vumilia changamoto zake
Mkuuu hao wakubwa hivyo wanasumbua kutoka
Tafuta wale wanaouza 1000 au 2000
Ukipata perege na kambale waliokaushwa vizuri nitafute pm
Itakuwa mikambale ya MTO kilombero hiyo na mipelege
Kila la kheri katika kuanzisha biashara mpya ya samaki.
Umemtia moyo vzr...lakini hajatuambia masuala mazima ya vibali na leseni....maana kimsingi "malighafi" hii inaweza kuhusianishwa na suala la uvuvi haramu hasa pande za Selous....
Fact umeongea, kikubwa azingatie taratibu zote pale anapotaka kuiendea biashara yake as you adviced her above..
Muite aje aione komenti yako.
Soko zuri kwa samaki Peleka Ilala, pale unaamka Alfajiri unauza kwa jumla kwa watu wa Magengeni, mpaka saa tatu asubuhi unakua umemaliza kazi na aunaweza kwenda kufanya ishu nyingine mpaka kesho tena.
Sorry, forgive me for the use of her instead of him as used in a coment above!Nishaona mkuu na nishamjibu asanteni kwa ushirikiano wenu
[emoji851][emoji851]but unfortunately mi sio mschana naona umetumia "her"
Sorry, forgive me for the use of her instead of him as used in a coment above!
One love.Usjali mkuu uwe na amani
Itakuwa mikambale ya MTO kilombero hiyo na mipelege
Wabongo!Vipi ulifanikiwa kuanzisha hii biashara
kuna tatizo boss?Wabongo!
Tunaomba mreheshoHeshimu kwenu wakuu
Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki dar kutoka moro ifakara niuze kwa bei ya jumla 4000 na rejareja 5000 ni samaki wakubwa waliobanikwa vizuri...
nakaribisha maoni na ushauri..
Mungu awabariki wote wenye nia njema [emoji120]