Tasteless...unakula kama unakula godoro...argghh...!
Duh..wapi hao waliochangamka..bas mie kwaajili nimezoea sato na wachumvi..aise nawashindwa..sijui kuna wale mbipi sijui..wanamimba na mafuta mengi zote naonaga hakuna kitu nachosikia!Mkuu labda kama sio Samaki wa Kilombero nnao wafahamu mimi. Samaki wa Kilombero ni wazuri na wamechangamka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..wapi hao waliochangamka..bas mie kwaajili nimezoea sato na wachumvi..aise nawashindwa..sijui kuna wale mbipi sijui..wanamimba na mafuta mengi zote naonaga hakuna kitu nachosikia!
Wanaitwa Ndipi mkuu, labda kwakuwa nimekua nikiwala ndio maana naona kwangu wamechangamka
Sent using Jamii Forums mobile app