Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki Dar kutoka Morogoro Ifakara

Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki Dar kutoka Morogoro Ifakara

Mkuu labda kama sio Samaki wa Kilombero nnao wafahamu mimi. Samaki wa Kilombero ni wazuri na wamechangamka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..wapi hao waliochangamka..bas mie kwaajili nimezoea sato na wachumvi..aise nawashindwa..sijui kuna wale mbipi sijui..wanamimba na mafuta mengi zote naonaga hakuna kitu nachosikia!
 
Wanaitwa Ndipi mkuu, labda kwakuwa nimekua nikiwala ndio maana naona kwangu wamechangamka

Sent using Jamii Forums mobile app

😄😄😄😄 yes ndipi...mie wazaz wamehamia nishatoka kwao..so kwangu naona mtihani mkubwa sana..je na wale wakuubwa wana mafuta wanabei kubwa wanaitwaje!..wale ndo godoro hili hapa dah😇😇😇! Ila wana mnofu sato akasome
 
Back
Top Bottom