Nataka kuanza Kilimo cha Maharage

Nataka kuanza Kilimo cha Maharage

buyoya419

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
618
Reaction score
498
Naona bora niingie shamba tu akili yangu ilipofikia.

Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi. Mahitaji, Eneo, Na vinginevyo. Kabla sijaanzishaa.

Naombeni mawazo yenu wapendwa
 
1.Passion.
2.Knowledge
3.Capital pesa
4. Ardhi yenye rutuba
5.Mbegu.
6.Hali ya hewa inayokubali maharage, ni joto la kadri.
7.Mbegu zinazopendwa kwa ukanda wako, mbeya kipapi na njano, mwasipenjele., njombe njano kijani
8. Msimu wa kupanda ni wa mvua na kiangazi.
9. Msimu wa mvua ni disemba na march.Wengi hupanda march kukwepa mvua haribufu.
10.Msimu wa mvua ni muhimu kupiga madawa ya ukungu.
11.Msimu wa kiangazi hulimwa kwenye mabonde oevu au kando ya vyanzo vya maji ili kumwagilia.
12.Mbolea ni za samadi na kisasa.
14. Szmadi ni junia za debe kumi walau 5, ya kuku ni nzuri zaidi,ya ng'mbe ina otesha nyasi na wadudu wahatibifu, kama sio muisilamu ya nguruwe nayo hutumika na ina nguvu sana.
15.Ya dukani mfuko mmoja miksa dap na can. Vilevile itategemea na ardhi ya huko.
Ardhi nzuri mbolea hazitumiki kabisa(virgin land).
16.Mbegu kwa heka debe 1.5 mpaka 2 inategemea na ukubwa wa maharage.
17.Palizi: Inategemeana na msimu na unakolima, Njombe hawafanyi palizi iwapo utapanda march, Mbeya palizi ni lazima mara moja tu.
18.Inakidiriwa katika hali nzuri utavuna debe 32 kwa heka moja.
Sawa na junia 3 za debe 10.
Bei ya kuuza inategemea mahala ulipo be msimu wa kuuza.
Msimu mzuri wa kiangazi debe hufika mpaka 35000 na wa mavuno ni 23000 au 25elf .
Mwaka jana nimenunua mbegu debe 45000 kipapi ya mbeya.
Songea bei huwa mpaka sh 700 kwa kilo msimu wa kununua.
Changamoyobni nyingi ila kubwa kuwwaweka wati wskudimamie shamba.
Binafsi nimeingia hasara mwaka huu.nilitmia kanuni zote za kupanda ila msimamizi aliunguza maharage kwa sumu iliozidi.
Picha hizi hapa.
IMG_20210410_105028.jpg
IMG_20210410_105028.jpg

Walifanya uzembe hawakupalilia. Hivyo kuna magugu yaliothiri hapo.
Nililima kwa dhumuni la kupata mbegu kwa ajili ya kulima heka 10 mwakani , basubiri nione ntapata debe ngapi ila 32 ni ngumu japo yaliota vizuri sana na ardhi ina rutuba sana.Nilitumia laki 300000 kwa heka.
Best wish.
 
Picha hizi hapa.View attachment 1782264View attachment 1782264

Mkuu heshima yako! Umelimia wap naona maharage yako yako vizuri
 
Pole Sana ndugu, na hongera kwa uthubutu.
 
Kunjombe, hayakuwa vizuri sana japo yapo kawaida. Maharage yakistawi hutakiwi kuona ardhi bali green carpet.
Mwakani ntaisimamia project kwa karibu.
Ntayavuna jun nione zimetoka debe ngapi.
Mkuu kunjombe ni wapi?
 
1.Passion.
2.Knowledge
3.Capital pesa
4. Ardhi yenye rutuba
5.Mbegu.
6.Hali ya hewa inayokubali maharage, ni joto la kadri.
7.Mbegu zinazopendwa kwa ukanda wako, mbeya kipapi na njano, mwasipenjele., njombe njano kijani
8. Msimu wa kupanda ni wa mvua na kiangazi.
9. Msimu wa mvua ni disemba na march.Wengi hupanda march kukwepa mvua haribufu.
10.Msimu wa mvua ni muhimu kupiga madawa ya ukungu.
11.Msimu wa kiangazi hulimwa kwenye mabonde oevu au kando ya vyanzo vya maji ili kumwagilia.
12.Mbolea ni za samadi na kisasa.
14. Szmadi ni junia za debe kumi walau 5, ya kuku ni nzuri zaidi,ya ng'mbe ina otesha nyasi na wadudu wahatibifu, kama sio muisilamu ya nguruwe nayo hutumika na ina nguvu sana.
15.Ya dukani mfuko mmoja miksa dap na can. Vilevile itategemea na ardhi ya huko.
Ardhi nzuri mbolea hazitumiki kabisa(virgin land).
16.Mbegu kwa heka debe 1.5 mpaka 2 inategemea na ukubwa wa maharage.
17.Palizi: Inategemeana na msimu na unakolima, Njombe hawafanyi palizi iwapo utapanda march, Mbeya palizi ni lazima mara moja tu.
18.Inakidiriwa katika hali nzuri utavuna debe 32 kwa heka moja.
Sawa na junia 3 za debe 10.
Bei ya kuuza inategemea mahala ulipo be msimu wa kuuza.
Msimu mzuri wa kiangazi debe hufika mpaka 35000 na wa mavuno ni 23000 au 25elf .
Mwaka jana nimenunua mbegu debe 45000 kipapi ya mbeya.
Songea bei huwa mpaka sh 700 kwa kilo msimu wa kununua.
Changamoyobni nyingi ila kubwa kuwwaweka wati wskudimamie shamba.
Binafsi nimeingia hasara mwaka huu.nilitmia kanuni zote za kupanda ila msimamizi aliunguza maharage kwa sumu iliozidi.
Picha hizi hapa.View attachment 1782264View attachment 1782264

Walifanya uzembe hawakupalilia. Hivyo kuna magugu yaliothiri hapo.
Nililima kwa dhumuni la kupata mbegu kwa ajili ya kulima heka 10 mwakani , basubiri nione ntapata debe ngapi ila 32 ni ngumu japo yaliota vizuri sana na ardhi ina rutuba sana.Nilitumia laki 300000 kwa heka.
Best wish.
Hongera sana mkuu. Mwezi wa nane nakuja njombe nina imani malengo yangu ya kukielewa kilimo cha maharage yatatimia
 
Kuna sehemu inaitwa madaba nasikia wanapanda hata mwezi wa 7-8. Kuna mabonde oevu. Nataka nije nisavei, ili niwe nikitoa njombe mwezi wa 5 naenda kulima kule.
 
Ipo sehemu gani hiyo mkuu. Maana mwezi wa nane nitakuwa ludewa
 
Unaenda kwa dhumuni ka kuloma tu au unamishe tofauti.
Naenda field shule ya sekondari, ila nilichagua shule ya huko njombe ili nifuatilie masuala ya kilimo pande hizo, Ikiwezekana nilime kabisa
 
Naona bora niingie shamba tu akili yangu ilipofikia.

Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi. Mahitaji, Eneo, Na vinginevyo. Kabla sijaanzishaa.

Naombeni mawazo yenu wapendwa
Njoo Bwawani tupo tunapambana uku
 
1.Passion.
2.Knowledge
3.Capital pesa
4. Ardhi yenye rutuba
5.Mbegu.
6.Hali ya hewa inayokubali maharage, ni joto la kadri.
7.Mbegu zinazopendwa kwa ukanda wako, mbeya kipapi na njano, mwasipenjele., njombe njano kijani
8. Msimu wa kupanda ni wa mvua na kiangazi.
9. Msimu wa mvua ni disemba na march.Wengi hupanda march kukwepa mvua haribufu.
10.Msimu wa mvua ni muhimu kupiga madawa ya ukungu.
11.Msimu wa kiangazi hulimwa kwenye mabonde oevu au kando ya vyanzo vya maji ili kumwagilia.
12.Mbolea ni za samadi na kisasa.
14. Szmadi ni junia za debe kumi walau 5, ya kuku ni nzuri zaidi,ya ng'mbe ina otesha nyasi na wadudu wahatibifu, kama sio muisilamu ya nguruwe nayo hutumika na ina nguvu sana.
15.Ya dukani mfuko mmoja miksa dap na can. Vilevile itategemea na ardhi ya huko.
Ardhi nzuri mbolea hazitumiki kabisa(virgin land).
16.Mbegu kwa heka debe 1.5 mpaka 2 inategemea na ukubwa wa maharage.
17.Palizi: Inategemeana na msimu na unakolima, Njombe hawafanyi palizi iwapo utapanda march, Mbeya palizi ni lazima mara moja tu.
18.Inakidiriwa katika hali nzuri utavuna debe 32 kwa heka moja.
Sawa na junia 3 za debe 10.
Bei ya kuuza inategemea mahala ulipo be msimu wa kuuza.
Msimu mzuri wa kiangazi debe hufika mpaka 35000 na wa mavuno ni 23000 au 25elf .
Mwaka jana nimenunua mbegu debe 45000 kipapi ya mbeya.
Songea bei huwa mpaka sh 700 kwa kilo msimu wa kununua.
Changamoyobni nyingi ila kubwa kuwwaweka wati wskudimamie shamba.
Binafsi nimeingia hasara mwaka huu.nilitmia kanuni zote za kupanda ila msimamizi aliunguza maharage kwa sumu iliozidi.
Picha hizi hapa.View attachment 1782264View attachment 1782264

Walifanya uzembe hawakupalilia. Hivyo kuna magugu yaliothiri hapo.
Nililima kwa dhumuni la kupata mbegu kwa ajili ya kulima heka 10 mwakani , basubiri nione ntapata debe ngapi ila 32 ni ngumu japo yaliota vizuri sana na ardhi ina rutuba sana.Nilitumia laki 300000 kwa heka.
Best wish.
Pole na hongera sana japo changamoto ilikufelisha ila next time itakuwa bora zaidi kwako
 
Back
Top Bottom