Nataka kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, wenye uzoefu naomba ushauri kwenu

Mm ninao kwajili y mboga n mayai madogo hawakosi kurumbua rumbua katika breakfast 😋. Sema raha ukiwa n eneo kubwa kiasi jioni unawaachia ndani y fensi. Jumla wako 21 majogoo 2 walio bakia matetea. Watano wanataga ni mwendo w kula mayai kienyeji pure. Sitaki wazidi idadi iyo.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kuku wa kienyeji wa kufuga mwenyewe wana raha yake. Yaani unakula mayai na nyama utakavyo. Ni watamu ni balaa. Muhimu uwe na eneo la nje lenye majani na uwalishe chakula cha kuku wa kienyeji kutoka katika maduka ya vyakula vya kuku.
 
ewaa haswaa, mayai na nyama utachoka mwenyewe hawana gharama kubwa kuwahudumia
 
Nilianza na kuku wawili mwaka juzi mpaka tar 24 july mwaka huu nilikua na kuku 70 plus. Nikasafiri tar 24 mpaka 27 nimekuta wamebaki kuku 8 tu
 
Nimefuga kuku wa kienyeji kwa staili ya kuku wa kisasa wanakua vizuri tena haraka zaidi wakiwa na uzito wa kutosha
 
Nimefuga kuku wa kienyeji kwa staili ya kuku wa kisasa wanakua vizuri tena haraka zaidi wakiwa na uzito wa kutosha
Hii pia na mm nilijaribu kwa vifaranga 10 vya kienyeji pure. Ilikua hv miezi 2 niliwapa stata vitamin. Pia miezi 2 niliwapa growa na maji y vitamin. Ndani ya miezi 4 na cku 15 majogoo waliwika na matetea yalitetea pia n uzito mzuri mno. Je ww ulifanyeje?
Asante.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nilianza na kuku wawili mwaka juzi mpaka tar 24 july mwaka huu nilikua na kuku 70 plus. Nikasafiri tar 24 mpaka 27 nimekuta wamebaki kuku 8 tu
Duh mtihani!

Shida gani ilitokea?ugonjwa,wanyama wakali au waliibwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…