Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Katakata vipande vidogo vidogo Kisha uwe unawapea..muda mwingine wawekee kwenye mabanda Yao huponya mafua nkNaomba elimu kidogo juu ya kuwapa vitunguu maji
Katakata vipande vidogo vidogo Kisha uwe unawapea..muda mwingine wawekee kwenye mabanda Yao huponya mafua nkNaomba elimu kidogo juu ya kuwapa vitunguu maji
Unaanzaje na idadi kubwa kama hiyo, ulitakiwa uanze na kuku wa 5 tu.Nilianza na mtaji wa kuku 50 lakini sasa nashukuru nimefanikiwa kuwala wote
Inafaa, ila ni muhimu kuhakikisha miguu ya kuku haikanyagi bati baridi (ni bora kuweka pumba au nyasi kavu chini) na kukuwe na uingizaji mzuri wa hewa ili kuzuia joto au baridi kaliJe nikiweka banda la mabati litafaa kwa ufugaji.
Kuku wa kienyeji wa kufuga mwenyewe wana raha yake. Yaani unakula mayai na nyama utakavyo. Ni watamu ni balaa. Muhimu uwe na eneo la nje lenye majani na uwalishe chakula cha kuku wa kienyeji kutoka katika maduka ya vyakula vya kuku.NB: kama ni wa kienyeji usijidanganye ukaenda tofauti na huo mfumo, ni bora utafute njia za kuondokana na hayo matatizo kama kuweka wigo, kutafuta site nje kidogo na makazi ya watu nk, ila siyo ufugie ndani. kienyeji ukimfuga ndani utakaa mwaka mzima unalalamika hawakui wala kuongezeka uzito, magonjwa ya hovyo honyo tofauti na akiwa anazunguka kujitafutia, wewe unampa tu asubuhi apate nguvu za kutafuta
ewaa haswaa, mayai na nyama utachoka mwenyewe hawana gharama kubwa kuwahudumiaKuku wa kienyeji wa kufuga mwenyewe wana raha yake. Yaani unakula mayai na nyama utakavyo. Ni watamu ni balaa. Muhimu uwe na eneo la nje lenye majani na uwalishe chakula cha kuku wa kienyeji kutoka katika maduka ya vyakula vya kuku.
ndio mkuu nimeanza kidogo tayariUlifanikiwa kuanza hata kidogo?
Nilianza na kuku wawili mwaka juzi mpaka tar 24 july mwaka huu nilikua na kuku 70 plus. Nikasafiri tar 24 mpaka 27 nimekuta wamebaki kuku 8 tuCha kwanza ambacho nataka kujua ni kuhusu ujenzi wa banda. Nahitaji banda ambalo kukubwatajua wanaishi humo mchana na usiku, lenye usalama ambalo halitavunjwa kiurahisi na wanyama kama fisi au hata binadamu, banda hilo liwe linatosha kuweka kuku 20.
ambacho bado sijui nataka ushauri ni je, kuku wanao taga wanakaa wapi ? kuku wanaolalia mayai wanakaa wapi, na kuku wanao umwa wanapaswa kukaa wapi ?
cha kwanza ndo hicho kuhusu banda, chapili nataka ushauri jinsi ya kuwafuga kwa usahihi, ili wakue vizuri na kuepuka magonjwa kama kideri n.k
nilishawai kufuga kuku ila saivi nataka nifuge kwa kuzingatia namna bora.
najua huku lazima kuna watu wapo wenye uzoefu kaiyo naomba ushauri kwao, pamoja na gharama zinazohitajika kwa vigezo hivyo vya banda na kuku wa kienyeji 20
unauzaje mayai ndugundio mkuu nimeanza kidogo tayari
Nimefuga kuku wa kienyeji kwa staili ya kuku wa kisasa wanakua vizuri tena haraka zaidi wakiwa na uzito wa kutoshaNB: kama ni wa kienyeji usijidanganye ukaenda tofauti na huo mfumo, ni bora utafute njia za kuondokana na hayo matatizo kama kuweka wigo, kutafuta site nje kidogo na makazi ya watu nk, ila siyo ufugie ndani. kienyeji ukimfuga ndani utakaa mwaka mzima unalalamika hawakui wala kuongezeka uzito, magonjwa ya hovyo honyo tofauti na akiwa anazunguka kujitafutia, wewe unampa tu asubuhi apate nguvu za kutafuta
Hii pia na mm nilijaribu kwa vifaranga 10 vya kienyeji pure. Ilikua hv miezi 2 niliwapa stata vitamin. Pia miezi 2 niliwapa growa na maji y vitamin. Ndani ya miezi 4 na cku 15 majogoo waliwika na matetea yalitetea pia n uzito mzuri mno. Je ww ulifanyeje?Nimefuga kuku wa kienyeji kwa staili ya kuku wa kisasa wanakua vizuri tena haraka zaidi wakiwa na uzito wa kutosha
Duh mtihani!Nilianza na kuku wawili mwaka juzi mpaka tar 24 july mwaka huu nilikua na kuku 70 plus. Nikasafiri tar 24 mpaka 27 nimekuta wamebaki kuku 8 tu
UgonjwaDuh mtihani!
Shida gani ilitokea?ugonjwa,wanyama wakali au waliibwa?
Safindio mkuu nimeanza kidogo tayari
Nina vifaranga 30 vya wiki tatu navipambania vyote viwe kukuUgonjwa