Biashara yako itafana sana mkuu, hasa ukizingatia maendeleo aliyoyaleta ndani ya mwaka mmoja. Nataja maendeleo machache tu:
1. Nyongeza ya mshahara na kupandisha madaraja watumishi wa umma alifanya kwa wakati.
2.Ajira kwa wahitimu amefanikiwa kuliko awamu zote.
3. Ameruhusu maandamano na mikutano kwa vyama vya siasa hadi watu wamechoka wenyewe, hawataki tena.
4. Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imetolewa kwa KILA aliyekuwa anastahili, tena bila matatizo na kwa wakati mwafaka. Wanaolalamikia hili ni vi.laza tu
5. Mafisadi wameshughulikiwa vya kutosha, hasa wale wa ESROW, LUGUMI, RICHMUND, n.k
6. Amefanikiwa kutoa uhuru wa kujieleza kwenye mitandao ya kijamii, hadi Maxce hafuatiliwi tena.
Mafanikio ni mengi.
Kalenda zako zikiwa na picha hiyo, biashara utaifurahia hadi utatoa machozi ya furaha na huzuni.
Weka na ya Jeee chaaaaa