Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni biashara na si research.Jaribu ulete mrejesho utakuwa unefanya research nzuri sana mkuu.
Sio lazma iwe hii kwenye hili bandiko.Una wazo zuri ila kosa ni aina ya Picha ambayo umeifikiria. Kauzie Lumumba
Tanzania. Ikiwezekana hata kenya. Nasikia wanamkubali sana.Alafu unaenda kuuzia nchi gani???[emoji46]
Labda ukamuuzie MakondaLabda uwe unagawa bure na hela juu
mkuu kwa hali ilivyo sasa watakutafuta tuuJamani tushauriane