Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

Una wazo zuri ila kosa ni aina ya Picha ambayo umeifikiria. Kauzie Lumumba
 
Sidhani Kama utafanikiwa kuuza hata mmoja.....
 
Jaribu ulete mrejesho utakuwa unefanya research nzuri sana mkuu.
 
ukiibandika om. barabarani magari yatakuwa yanakunusuru kukugonga[emoji3][emoji3] hela hupati kama zamani.ndoto za usiku kama unaangalia muvi za mazombi
 
tengeneza kalenda chache uwe unauza pale lumumba
 
Ndugu zangu naomba mnipe ushauri. Ninataka kuanzisha biashara ya kuprint calender. Hizi calender zitakuwa na picha ya Waziri mstaafu Edward. G. Lowassa.

Mnaonaje wadau. Hii biashara italipa? Mpo tiyari kununua.?
Mihemko ya vyama wekeni pembeni. Siasa mpaka 2020.
e4ed2dc4d419af5a1ac2aae1a2a1c178.jpg
 
Mkuu hiyo biashara sikushauri uifanye kwa sababu itakutia hasara.

Watu wanazihitaji kweli hizo picha za EL kwenye majengo yao ila kwa hali ya kisiasa ilivyosasa tunahofia watapita waanze kutukagua nani hayajaweka picha ya Pogba ndani kwake.

So ukikutwa na picha ya EL inaweza kuwa jinai maana sasa hivi hata sijui tunatumia katiba gani kuendesha nchi yetu.
 
Back
Top Bottom