Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Naombeni ushauri wenu wanajamvi.
Nataka kuprint calendar za 2017. Kati ya picha nazotaka kutumia ni pamoja na ya Rais Magufuli.
Je, hii italipa? Je ni lazima nimuombe JPM kuwa nitatumia picha yake?
Na ni process zipi nipitie ili kupata ruksa toka kwake.
Kutokana na Report ya twaweza kuwa anapendwa kwa 90+% ninaimani biashara yangu inauhakika wa asilimia 90 ya watanzania watakaonunua.