Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
- Thread starter
-
- #41
Kwa kosa lipi sasa?mkuu kwa hali ilivyo sasa watakutafuta tuu
Au unataka upelekwe huko Ndugu Lissu aliposema wanapelekwa
Hahahahaha mekuuu umeniacha hoiMkuu hiyo biashara sikushauri uifanye kwa sababu itakutia hasara.
Watu wanazihitaji kweli hizo picha za EL kwenye majengo yao ila kwa hali ya kisiasa ilivyosasa tunahofia watapita waanze kutukagua nani hayajaweka picha ya Pogba ndani kwake.
So ukikutwa na picha ya EL inaweza kuwa jinai maana sasa hivi hata sijui tunatumia katiba gani kuendesha nchi yetu.
Utauza sana bt wasiwasi wangu nikwamba utaitwa mchocheziNdugu zangu naomba mnipe ushauri. Ninataka kuanzisha biashara ya kuprint calender. Hizi calender zitakuwa na picha ya Waziri mstaafu Edward. G. Lowassa.
Mnaonaje wadau. Hii biashara italipa? Mpo tiyari kununua.?
Mihemko ya vyama wekeni pembeni. Siasa mpaka 2020.
Wewe ndye unachocheaSasa mkuu kalenda ya EL ofisin itakaa upande gani? Ukiiweka iangaliane na Ile picha ya mkulu si ajabu siku ukakuta picha zimeshikana mashati. Acha uchochezi.
Nakukumbusha tu mkuu, na siku hizi dhamana iko likizo.Wewe ndye unachochea
Tutakomaa tu. Binadamu anakufa mara mojaNakukumbusha tu mkuu, na siku hizi dhamana iko likizo.
UnakaribishwaTuungane mkuu
[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji13] [emoji14] [emoji12] [emoji4] [emoji5] , umesababisha nicheke sana yn.Sasa mkuu kalenda ya EL ofisin itakaa upande gani? Ukiiweka iangaliane na Ile picha ya mkulu si ajabu siku ukakuta picha zimeshikana mashati. Acha uchochezi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa mkuu kalenda ya EL ofisin itakaa upande gani? Ukiiweka iangaliane na Ile picha ya mkulu si ajabu siku ukakuta picha zimeshikana mashati. Acha uchochezi.
Duh. Inamaana sura ya luwasa ni bomuUtaitwa gaidi, shauri yako.
Duh. Namakofi yamousijisumbue kuuza hiyo hata ukiwapa bure wabongo watakunasa makofi