Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

Mkuu hiyo biashara sikushauri uifanye kwa sababu itakutia hasara.

Watu wanazihitaji kweli hizo picha za EL kwenye majengo yao ila kwa hali ya kisiasa ilivyosasa tunahofia watapita waanze kutukagua nani hayajaweka picha ya Pogba ndani kwake.

So ukikutwa na picha ya EL inaweza kuwa jinai maana sasa hivi hata sijui tunatumia katiba gani kuendesha nchi yetu.
Hahahahaha mekuuu umeniacha hoi
 
Ndugu zangu naomba mnipe ushauri. Ninataka kuanzisha biashara ya kuprint calender. Hizi calender zitakuwa na picha ya Waziri mstaafu Edward. G. Lowassa.

Mnaonaje wadau. Hii biashara italipa? Mpo tiyari kununua.?
Mihemko ya vyama wekeni pembeni. Siasa mpaka 2020.
e4ed2dc4d419af5a1ac2aae1a2a1c178.jpg
Utauza sana bt wasiwasi wangu nikwamba utaitwa mchochezi
 
Sasa mkuu kalenda ya EL ofisin itakaa upande gani? Ukiiweka iangaliane na Ile picha ya mkulu si ajabu siku ukakuta picha zimeshikana mashati. Acha uchochezi.
Wewe ndye unachochea
 
nakushauri wekeza katika hio kitu, zitatoka kama njugu mwanzoni
 
Sasa mkuu kalenda ya EL ofisin itakaa upande gani? Ukiiweka iangaliane na Ile picha ya mkulu si ajabu siku ukakuta picha zimeshikana mashati. Acha uchochezi.
[emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji13] [emoji14] [emoji12] [emoji4] [emoji5] , umesababisha nicheke sana yn.
 
Sasa mkuu kalenda ya EL ofisin itakaa upande gani? Ukiiweka iangaliane na Ile picha ya mkulu si ajabu siku ukakuta picha zimeshikana mashati. Acha uchochezi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kwenye izo karenda bora uweke picha za mti wa muembe au muarobain
 
Back
Top Bottom