Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

Una wazo zuri ila kosa ni aina ya Picha ambayo umeifikiria. Kauzie Lumumba
Lumumba atanunua nani na kwahela gani maana Lumumba wakati si tunasoma aina za namba wao wameshafika K.K.S. na K.D.S
Panga lawajumbe wa kamati kuu lilivopita wote waliopunguzwa watapenda waweke ya lowasa kwenye nyumba zao
 
Hakuna biashara ngumu kama kutembeza bata Mjini na kutarajia mauzo...
 
kweli kaka
 
Duhuuu ! Nimecheka mpaka basi
 
Is true my friend anzishaa
 
Tehe tehe tehe? mkuu,hiyo kitu ni maumivu ya kichwa! nimeamini wanajf wanakupenda na ndiyo maana wamekuambia ukweli.
 
Nilikuwa namshauri tu mkuu. Biashara hiyo na picha ya Faru John itanichanganya bure.
 
Kagawe bure ktk shule za msingi watachukua ili wageuze nyuma kwa ajili ya kujaradia madaftar... Please usichape pande zote
 
Duh hakika tuna Raisi Mana kufanya yote haya si mchezo ngoja mi wa Lubumbashi nirudi home sasa
 
Mwanza watanunua coz wao hawaisomi namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…