james katto
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 385
- 128
Nafsi yangu ina amani sana na huyu jamaa hadi najiogopa.Duh hakika tuna Raisi Mana kufanya yote haya si mchezo ngoja mi wa Lubumbashi nirudi home sasa
Hata kenya wanamkubali. Wanamuita mzee wa misifa aka mpika pushupUtauza.lkn so tz labda rwanda mkuu wanamkubal sana
Hahahahaha...Labda uwe unagawa bure na hela juu