Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

Nataka kuanzisha biashara ya kuprint calendar zenye picha za viongozi

Kuna watu wanatembezaga picha za viongozi wa Tz na pogba yupo niziangaliaga kwa jicho baya sn hizo picha
 
itakubidi ugawe bure coz wafuasi wake wengi wao wamezoea kugawiwa bure tshirt,kofia na kanga za kijani.au fanya kama alivyofanya shigongo uingie nao mkataba
 
Back
Top Bottom