Nataka kuanzisha Chuo, Nishaurini nianze na kozi zipi?

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Wadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo.

Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi.

Sasa natamani kujua ni kozi zipi nianze nazo? ambazo zinapendwa, zenye soko na zitakazouza jina la chuo vizuri tena zikifundishwa kwa viwango vya juu.

Nitashukuru kwa ushauri wadau..

Kama hautapenda kushea mawazo yako hapa, njoo pm.

Asanteni nyote.
 
Hongera sana kwa kujiajiri maana ndiyo kauli mbiu kwa wale motivation speakers toka idara nyeti za kazi nchini lakini wenyewe hawataki kujiajiri.
 
Anzisha chuo kulingana na uwezo ulionao usilazimishe baadhi ya vitu, anza kidogokidogo kwa rasilimali hizohizo

Kuhusu kozi pia, angalia pia target yenu na plan kama zinafaa

Kwa maelekezo zaidi wasiliana na mamlaka husika za serikali mfano NACTE,TCU, VETA, WIZARA ELIMU N.K
 
Anzisha Chuo cha Ufundi kinachotaka kufanana na Veta ila sio Veta Toa kozi za I.T,Computer science ndo dunia inaelekea uko,,Ususi,Urembo,,Videographer na Gym trainer lakini kama unataka kupiga pesa anzisha izi kozi za kufikirika yaani za kusoma porojo za MABEBERU kama za Afya,Social science,law,education n.k n.k

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu
 
Anzisha chuo kulingana na uwezo ulionao usilazimishe baadhi ya vitu, anza kidogokidogo kwa rasilimali hizohizo

Kuhusu kozi pia, angalia pia target yenu na plan kama zinafaa

Kwa maelekezo zaidi wasiliana na mamlaka husika za serikali mfano NACTE,TCU, VETA, WIZARA ELIMU N.K
Ndio mkuu, naanza kdg kdg, kwanza tunajikita Nacte haswa kwa kozi za certificate na diploma. Kisha tutafika huko juu TCU.
 
Wadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo.

Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi.

Sasa natamani kujua ni kozi zipi nianze nazo? ambazo zinapendwa, zenye soko na zitakazouza jina la chuo vizuri tena zikifundishwa kwa viwango vya juu.

Nitashukuru kwa ushauri wadau..

Kama hautapenda kushea mawazo yako hapa, njoo pm.

Asanteni nyote.
Dunia inaelekea kwenye teknolojia mkuu ingia uko uko IT, computer science n.k, course nyingine ni uhasibu maana hakuna ofisi ambayo haina muhasibu.. kama kutakua na nafasi ya kazi hata kujitolea nipo tayari mkuu nina diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business managemnet pia ujuzi wa masuala ya accounting and finance maana nimefanya field na tempo CRDB BANK
 
Jobless huwa wanafikiriaga mbali sana
 
Back
Top Bottom