Wadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo.
Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi.
Sasa natamani kujua ni kozi zipi nianze nazo? ambazo zinapendwa, zenye soko na zitakazouza jina la chuo vizuri tena zikifundishwa kwa viwango vya juu.
Nitashukuru kwa ushauri wadau..
Kama hautapenda kushea mawazo yako hapa, njoo pm.
Asanteni nyote.