Hongera sana kwa kujiajiri maana ndiyo kauli mbiu kwa wale motivation speakers toka idara nyeti za kazi nchini lakini wenyewe hawataki kujiajiri.Wadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo.
Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi.
Sasa natamani kujua ni kozi zipi nianze nazo? ambazo zinapendwa, zenye soko na zitakazouza jina la chuo vizuri tena zikifundishwa kwa viwango vya juu.
Nitashukuru kwa ushauri wadau..
Kama hautapenda kushea mawazo yako hapa, njoo pm.
Asanteni nyote.
Asante mkuuHongera sana kwa kujiajiri maana ndiyo kauli mbiu kwa wale motivation speakers toka idara nyeti za kazi nchini lakini wenyewe hawataki kujiajiri.
Sawa mkuu, wazo zuri hili.Anza na kozi za Technology (ICT) na Afya.
Asante mkuuAnzisha Chuo cha Ufundi kinachotaka kufanana na Veta ila sio Veta Toa kozi za I.T,Computer science ndo dunia inaelekea uko,,Ususi,Urembo,,Videographer na Gym trainer lakini kama unataka kupiga pesa anzisha izi kozi za kufikirika yaani za kusoma porojo za MABEBERU kama za Afya,Social science,law,education n.k n.k
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu, naanza kdg kdg, kwanza tunajikita Nacte haswa kwa kozi za certificate na diploma. Kisha tutafika huko juu TCU.Anzisha chuo kulingana na uwezo ulionao usilazimishe baadhi ya vitu, anza kidogokidogo kwa rasilimali hizohizo
Kuhusu kozi pia, angalia pia target yenu na plan kama zinafaa
Kwa maelekezo zaidi wasiliana na mamlaka husika za serikali mfano NACTE,TCU, VETA, WIZARA ELIMU N.K
Good moveNdio mkuu, naanza kdg kdg, kwanza tunajikita Nacte haswa kwa kozi za certificate na diploma. Kisha tutafika huko juu TCU.
Dunia inaelekea kwenye teknolojia mkuu ingia uko uko IT, computer science n.k, course nyingine ni uhasibu maana hakuna ofisi ambayo haina muhasibu.. kama kutakua na nafasi ya kazi hata kujitolea nipo tayari mkuu nina diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business managemnet pia ujuzi wa masuala ya accounting and finance maana nimefanya field na tempo CRDB BANKWadau, kuna fursa nimepata ambapo natakiwa kuanzisha chuo.
Kwa kuanza, chuo kitakuwa kinatoa mafunzo kwa ngazi za certificate na diploma kisha baadaye tutaenda level za juu zaidi.
Sasa natamani kujua ni kozi zipi nianze nazo? ambazo zinapendwa, zenye soko na zitakazouza jina la chuo vizuri tena zikifundishwa kwa viwango vya juu.
Nitashukuru kwa ushauri wadau..
Kama hautapenda kushea mawazo yako hapa, njoo pm.
Asanteni nyote.
Asante mkuu kwa ushaurimkuu so mbaya pia akaangalia na kozi za hospitality and tourism like National college of tourism (NCT)
Mkuu, hii unamaanisha taasisi ya elimu ya watu wazima?Wasiliana na TEWW pale Bamaga watakupa miongozi hadi usajiri
Ndio mkuu. Hawana longolongoMkuu, hii unamaanisha taasisi ya elimu ya watu wazima?