Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Habari, nina mpango wa kuanzisha podcast. Naomba ushauri wowote utakaonisaidia kufikia amza yangu hii.
Najua nahitaji vitu vya kurekodia, ni vitu gani basic natakiwa kuwa navyo na gharama zake zipo namna gani? Wapi naweza kupublish na kupata wasikilizaji wengi wa Tanzania? Platform hizo zinalipa? Monetization ya podcats kwa ujumla ipo namna gani?
Natanguliza shukrani.