Jumbe Adarusi
Senior Member
- Oct 18, 2012
- 105
- 78
habar zenu wakuu, naombeni msaada plz, nakusudia kuanzisha mradi wa stationery sehem flan iv. Je unadhan ni mtaji kama wa kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara hiyo na angalau kuweza kusimama?
Msaada wakuu... Mawazo yenu yanahitajika
Mbona hawakuja?
jitahidi upate photocopy nzuri.
jitahidi upate photocopy nzuri.
vitu vya muhimu kwa kuanza ni photocopier machine, printer muhimu iwe coloured, scanner, pamoja na vikorombwezo kama madaftari kalamu bahasha etc badae ndio utaongeza lamination machine, paper cutter, spiral binding machine etc etc
photocopy nzuri ikoje mkuu