Nataka kuappeal

Nataka kuappeal

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Wakuu haiwezekani mtu mwanzo alikuwa na div four ya 30 sasa ana div 1 au div 3 alafu mimi mwanzo nilikuwa na div 4 ya 27 sasa nina 26.sasa wakuu naomba mnipe process za kurudia baadhi ya mitihani yangu iludiwe kusahihishwa coz najiamini na nina uhakika kuwa nimepiga fresh msaada wenu wakuu
 
Angalia usije ku appeal ukapata div 4 ya 30....wale sio watu wazuri bhana hawachelew kukomoa
 
Pole ndio nchi yako hiyo, kama umefikia umri wa kupiga kura hakikisha unawang'oa madarakani hapo 2015 ili nduguzo wengine wasikutwe na hiyo kadhia
 
Back
Top Bottom