watu kama hawa dawa yao huwapi nafasi ya kuwasikiliza........... ukigundua yupo hivi siku ya kwanza ndo iwe ya mwisho kumpa muda wako
watu kama hawa dawa yao huwapi nafasi ya kuwasikiliza........... ukigundua yupo hivi siku ya kwanza ndo iwe ya mwisho kumpa muda wako
mi waga naomba nisikutane na watu kama CPU, manaka hata kama hutaki utataka tu.....Lizzy huyu jamaa vipi??
Nimelala kama mtoto dearest...tabasamu usoni...amani rohoni yani raha tupu!Inabidi tukuangalizie na wewe sasa dearest!
yaani mtakuwa mmenisaidia sana manake upweke unaelekea kuniua.....hata kudanganywa sijadanganywi....l.o.l
Hehe mamb LD ulikosekana kutoa maushauri!Sipiyu kampata Lizzy na Lizzy kamapata Sipiyu!Tupigie gitaa hilo tuburudike!
Mapendekezo: Kloro japo ni msanii ila ana jivicent vya kukuweka mjini!Kaizer sijui kama ana kitu ila ametulia kiasi!Uporoto najua anakuadmire sana tunawaza kumbadilisha akapenda kabisa!Mpendwa ametulia sana siku zote utakua na amani!Ngoja niangalie wengine ambao wako level!
Michelle ndo mwenyekiti!Hata tar nadhani yeye ndo anapanga!Mambo safi Lizzy, tuanze vikao vya Harusi lini, sijuinikae upande gani sas, wa Bwana arusi au bibi Harusi,
Manake dah wote mnanigusa. Hebu Michelle andaa taratibu hizi fasta fasta!!!!
Michelle ndo mwenyekiti!Hata tar nadhani yeye ndo anapanga!
pengine hela ya cafe imemuishia, acha tumsubirie. pia inawezekana michelle keshakuzidi kete. huyu michelle huyu aargh!Mmh ngoja CPU ajibu maana mi naweza kujifanya nimepata kumbe nimepatikana!
vipi? tayari amepatikana? nataka nirembee sredi la michango ya harusi hewani.
pengine hela ya cafe imemuishia, acha tumsubirie. pia inawezekana michelle keshakuzidi kete. huyu michelle huyu aargh!
pengine hela ya cafe imemuishia, acha tumsubirie. pia inawezekana michelle keshakuzidi kete. huyu michelle huyu aargh!