Kama ulikua mbaya na umejirekebisha then unastahili nafasi ya pili!Kama wewe ndo ulikosewa unastahili tulizo la moyo...kwahiyo unakaribishwa!
Ooh nashukuru Lizzy kwa consideration. Si unakumbuka kunathread niliweka hapa kueleza nilivyotendwa? mie ndo mkosewa haswa mana pahala nilipopaheshimu zaidi aliamua kumgawia mtu mwingine.