Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Kama ulikua mbaya na umejirekebisha then unastahili nafasi ya pili!Kama wewe ndo ulikosewa unastahili tulizo la moyo...kwahiyo unakaribishwa!

Ooh nashukuru Lizzy kwa consideration. Si unakumbuka kunathread niliweka hapa kueleza nilivyotendwa? mie ndo mkosewa haswa mana pahala nilipopaheshimu zaidi aliamua kumgawia mtu mwingine.
 
Ooh nashukuru Lizzy kwa consideration. Si unakumbuka kunathread niliweka hapa kueleza nilivyotendwa? mie ndo mkosewa haswa mana pahala nilipopaheshimu zaidi aliamua kumgawia mtu mwingine.
Oh pole sana mpendwa!Sasa na we upate mtakaepaheshimu pamoja!
 
Mapendekezo: Kloro japo ni msanii ila ana jivicent vya kukuweka mjini!Kaizer sijui kama ana kitu ila ametulia kiasi!Uporoto najua anakuadmire sana tunawaza kumbadilisha akapenda kabisa!Mpendwa ametulia sana siku zote utakua na amani!Ngoja niangalie wengine ambao wako level!

ok..thanks,sikupaona hapo...

kimeeleweka au bado?? CPU niPM basi ili nijue nini kinaendelea, nione kama nahitaji kurudi kwenye magoti kukuombea..lol
 
ok..thanks,sikupaona hapo...

kimeeleweka au bado?? CPU niPM basi ili nijue nini kinaendelea, nione kama nahitaji kurudi kwenye magoti kukuombea..lol

Inabidi niulize...Sipiyu kakupa nini?
 
ok..thanks,sikupaona hapo...

kimeeleweka au bado?? CPU niPM basi ili nijue nini kinaendelea, nione kama nahitaji kurudi kwenye magoti kukuombea..lol

Yaani unaomba nikuPM mbele ya mama watoto?? Mbona hujui kuiba sasa?
 
Yaani unaomba nikuPM mbele ya mama watoto?? Mbona hujui kuiba sasa?

Embu mPM...nimesikia nyumba ndogo hua inasaidia kuimarisha nyumba kubwa!
 
I just cant say her name but she knows herself, I just want to tell her that i love her so much no matter what she will always be in my heart
 
nakumbuka sana tu, enzi zile ukihifazi wimbo wa "all my life" unakula mpaka headmistress shuleni. khaa! siku hizi kama hauna hela hakieleweki kabisa yaani.
Siku hizi hadi uwe SHAROBARO kwanza kama hashycool au CPU
 
Back
Top Bottom