Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

watu kama hawa dawa yao huwapi nafasi ya kuwasikiliza........... ukigundua yupo hivi siku ya kwanza ndo iwe ya mwisho kumpa muda wako

Duuuuh! Kumbe na nyie hamvicheleweshi vitu vizuri eeeh??!! Mi nilifikiri bado utaweza kuendeleza mapozi
The Following User Says Thank You to Fixed Point For This Useful Post:

CPU (Today)​

mi waga naomba nisikutane na watu kama CPU, manaka hata kama hutaki utataka tu.....Lizzy huyu jamaa vipi??

Mmmmmmh! Basi bichwa langu litapasuka leo

The Following User Says Thank You to Michelle For This Useful Post:

CPU (Today)​
 
Nimelala kama mtoto dearest...tabasamu usoni...amani rohoni yani raha tupu!Inabidi tukuangalizie na wewe sasa dearest!

yaani mtakuwa mmenisaidia sana manake upweke unaelekea kuniua.....hata kudanganywa sijadanganywi....l.o.l
 
yaani mtakuwa mmenisaidia sana manake upweke unaelekea kuniua.....hata kudanganywa sijadanganywi....l.o.l

Mapendekezo: Kloro japo ni msanii ila ana jivicent vya kukuweka mjini!Kaizer sijui kama ana kitu ila ametulia kiasi!Uporoto najua anakuadmire sana tunawaza kumbadilisha akapenda kabisa!Mpendwa ametulia sana siku zote utakua na amani!Ngoja niangalie wengine ambao wako level!
 
Hehe mamb LD ulikosekana kutoa maushauri!Sipiyu kampata Lizzy na Lizzy kamapata Sipiyu!Tupigie gitaa hilo tuburudike!

Mambo safi Lizzy, tuanze vikao vya Harusi lini, sijuinikae upande gani sas, wa Bwana arusi au bibi Harusi,
Manake dah wote mnanigusa. Hebu Michelle andaa taratibu hizi fasta fasta!!!!
 
Mapendekezo: Kloro japo ni msanii ila ana jivicent vya kukuweka mjini!Kaizer sijui kama ana kitu ila ametulia kiasi!Uporoto najua anakuadmire sana tunawaza kumbadilisha akapenda kabisa!Mpendwa ametulia sana siku zote utakua na amani!Ngoja niangalie wengine ambao wako level!

mmmmhhhh Lizzy taratibu....wengine uliowataja wameoa na mashalobaro sitaki mimi....l.o.l
 
mmmmhhhh Lizzy taratibu....wengine uliowataja wameoa na mashalobaro sitaki mimi....l.o.l

Mmh mi nlidhani babu Asprini na St.RR tu ndo off limit!Orait ngoja niangalie upya!
 
Mambo safi Lizzy, tuanze vikao vya Harusi lini, sijuinikae upande gani sas, wa Bwana arusi au bibi Harusi,
Manake dah wote mnanigusa. Hebu Michelle andaa taratibu hizi fasta fasta!!!!
Michelle ndo mwenyekiti!Hata tar nadhani yeye ndo anapanga!
 
Michelle ndo mwenyekiti!Hata tar nadhani yeye ndo anapanga!

Mwambie achague kamati, tujiandae kwa pleji, Asprin naomba apewe kamati ya vinywaji,
St RR. kamati ya mapambo.......................hizo nyingine atajua mwenyewe jinsi ya kufanya. Clorokwini na Kaizer watakuwa kamati ya ulinzi.
Kwa heshima na taadhima na taaluma zote, MJ1 awe mweka hazina.

Haya ni mapendekezo mheshimiwa mwenyekiti!!!
 
😛op2:😛op2:😛op2:😛op2:😛op2:😛op2:😛op2:
 
Mmh ngoja CPU ajibu maana mi naweza kujifanya nimepata kumbe nimepatikana!
pengine hela ya cafe imemuishia, acha tumsubirie. pia inawezekana michelle keshakuzidi kete. huyu michelle huyu aargh!
 
vipi? tayari amepatikana? nataka nirembee sredi la michango ya harusi hewani.

Hii harusi haihitaji michango ya fedha, mchango ni wewe kufika harusini. Kadi zote za harusi nimeshamkabidhi HRM Michelle aanze kuzigawa.
Ukumbi utakuwa ni mkubwa sana, so kila mwalikwa atakabidhiwa Notebook 1 aina ya Toshiba ambayo itakuwa na uwezo wa kurekodi matukio yote ya ukumbini kupitia teknolojia mpya ya 5G
 
pengine hela ya cafe imemuishia, acha tumsubirie. pia inawezekana michelle keshakuzidi kete. huyu michelle huyu aargh!

Nataka internet kwa tekinolojia mpya ya 5G ambayo haijaanza kutumika kokote duniani zaidi yangu. Hii inadaka internet kokote bila malipo
 
pengine hela ya cafe imemuishia, acha tumsubirie. pia inawezekana michelle keshakuzidi kete. huyu michelle huyu aargh!

:A S 13::A S 13: ha ha ha haaaaaaaa,huniamini kiasi hicho hata kwa dearest wangu Lizzy?nimekaa kiwiziwizi kama we ulivyokaa kishalobaro muone kwanza......:rain:
 
Back
Top Bottom