Kama ulikua mbaya na umejirekebisha then unastahili nafasi ya pili!Kama wewe ndo ulikosewa unastahili tulizo la moyo...kwahiyo unakaribishwa!
Oh pole sana mpendwa!Sasa na we upate mtakaepaheshimu pamoja!Ooh nashukuru Lizzy kwa consideration. Si unakumbuka kunathread niliweka hapa kueleza nilivyotendwa? mie ndo mkosewa haswa mana pahala nilipopaheshimu zaidi aliamua kumgawia mtu mwingine.
Mapendekezo: Kloro japo ni msanii ila ana jivicent vya kukuweka mjini!Kaizer sijui kama ana kitu ila ametulia kiasi!Uporoto najua anakuadmire sana tunawaza kumbadilisha akapenda kabisa!Mpendwa ametulia sana siku zote utakua na amani!Ngoja niangalie wengine ambao wako level!
ok..thanks,sikupaona hapo...
kimeeleweka au bado?? CPU niPM basi ili nijue nini kinaendelea, nione kama nahitaji kurudi kwenye magoti kukuombea..lol
Hodi humu ndani wenyewe wapo?
Lizzy i am the happiest person alive today.Sema Fynest!
uncle ulikuwa unaimba boyz2men nini?I just cant say her name but she knows herself, I just want to tell her that i love her so much no matter what she will always be in my heart
Ahaa ahaa ankal unakumbuka enzi za Kci & Jojouncle ulikuwa unaimba boyz2men nini?
nakumbuka sana tu, enzi zile ukihifazi wimbo wa "all my life" unakula mpaka headmistress shuleni. khaa! siku hizi kama hauna hela hakieleweki kabisa yaani.Ahaa ahaa ankal unakumbuka enzi za Kci & Jojo
Siku hizi hadi uwe SHAROBARO kwanza kama hashycool au CPUnakumbuka sana tu, enzi zile ukihifazi wimbo wa "all my life" unakula mpaka headmistress shuleni. khaa! siku hizi kama hauna hela hakieleweki kabisa yaani.
hashy wamemdaka boda la sauzi bana! yaani tutammiss kweliSiku hizi hadi uwe SHAROBARO kwanza kama hashycool au CPU
lizzy klorokwini................how does that sound? (nimetumia kiingereza kuonesha msisitizo)Haya acheni kuchakachua thread kama hamko tayari kushea majina yenu!