Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

lakini lizzy , ni vyema ukakubali nikakupa mauzoefu. unajua ndoa ni kitu kizito sana. ni bora upite transit kwangu halaf uelekee kwenye ndoa ukiwa fulu maeksperiensi. hata umri wako unaruhusu transit
Yani ujana wangu atumie Kloro alafu mume aje kuambulia uzee?Aka!Maeksipiriensi ntapata kwake,.usije ukanogewa bure!
 
wewe bado hautafuti? au unasubiri dk slaa akuwe rais?

Hahahahahaha...yaani Kloro....sikuwezi!!!
Thank you! you have made my night......:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
eti Dr Slaaa, wakati yeye ana mchumba wake Josephine!!
 
hii haiitwi kuchakachuliwa, inaitwa sadaka ya uzoefu. yaani mimi si mchoyo kabisa. unapaswa kunipongeza kwa ujasiri huu

Na kweli unastahili pongezi kwa kutaka kumuiba mama mchungaji live!Ngoja nilale kabla kibatari hakijaisha mafuta!Embu naomba unizimie Kloro...
 
dah! mwali ndio kisha fly huyo. ngoja nikeshe
jf leo anaweza tokea mwali mwengine aliyetayari lol
 
Lizzy mjukuu wangu hebu nipe matokeo ya hii kampeni yako ya kulikimbia jina langu la ukoo.
 
Dah!Sijui nimPM!!Hivi anatongozeka kweli?

Mamaaaaaaaaaaa!
:A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry::A S-cry:

Yaani kweli mama watoto unataka kunifanyia hivi??! Hebu niambie kosa langu!!!!
Kukupenda kote kule kumbe malipo yake ndio haya?? :A S 13::A S 13:
Au ulikuwa unanijaribu tu, wakati mapenzi yako yapo kwa mwanajeshi???
NAJUTA MIE KUPENDA, NAJUTAAAAAAAAAAAA
 
karibu miss jukwaa la mahusiano na mapenzi. hapa tunasherehekea lizzy kuwa mchumba rasmi wa klorokwini. mnaombwa michango ya harusi

Wewe dawa iliyopitwa na wakati una:rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant::rant:akina Metakefin, panadol, action n.k huwaoni???!???????????????????????????????????????
 
Siku hizi hadi uwe SHAROBARO kwanza kama hashycool au CPU
The Following 2 Users Say Thank You to The Finest For This Useful Post:

CPU (Today), klorokwini (Today)​


LIZZY FINEST je?


Unajua wewe kijana mimi nakuheshimu sana??? Umeacha kwenda kununua mbegu za mahindi unakuja kuvizia mke wangu, ndio kazi niliyokuitia hapa mjini??? Nitakurudisha kwenu ukaendelee na nyanya zako ohoooooooooooooo????!! Wewe si juzi tu hapa nilikutetea ulivyomuweka mimba binti wa YAHYA ALI HADAIWI?? Ukaendelea kuwapachika hausigel wote saba niliowaleta hapa kwangu?? Leo unamgeukia mama wa nyumba??? Husikii ng'ombe wanavyopiga kelele, hawajala tangu jana, mbwa hujamfungulia usiku, nilikwambia nini kuhusu wale kuku??? Mbuzi hujawapeleka wakale majani, viazi kule shamba hujavileta nyumbani, na nilikwambia ukanunue mkaa, uko wapi sasa?? Na umeme hujaenda kununua??? Ona kiwanja kilivyo kichafu??? Hako ka-mdudu kako kanajua kusimama weeeeeeeee, umewahi kupakwa pilipili mbuzi kwenye kadudu kako???
 
Back
Top Bottom