Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Unashangaa nini ving'aavyo vyote si dhahabu mi nakusubiri mpaka 2021. I'll be waiting for you,when you are lonely just call and i'll be there in a second,when your down i'll be there to pick you up and wipe the dust,when you cry i'll wipe your tears,when your happy i will laugh with you,when your scared i'll protect you,when you sleep i will chase away the mosquito's and flies.
 

You made my day Uporoto!Ngoja nikwangue hizi dhahabu feki ili wasidanganywe wengine!Siku nikija kwako itakua out of LOVE!
 
I dont think if all men proves their love to a woman that way.
Anyway mabe that is what you know about men

Sasa bibie, na wewe unatafuta MCHUMBA au?

Anatafuta jina mwenzio sio mchumba.
 
Yaani huyu kwa kudaka mabusu ya watu, hajambo
Subili busu la Panadol
Acha abaki nalo love!Here comes another MWUAHHH!MWUAHHH!MWUUAAHHHH!
 
acha nikashereheke na ushindi wa liverpool kwanza. nitalejea baada ya one hour. PM yako nitaijibu nikilejea lizzy lol
 
acha nikashereheke na ushindi wa liverpool kwanza. nitalejea baada ya one hour. PM yako nitaijibu nikilejea lizzy lol

Wife wangu anavyonipenda, ninavyompenda, na kubwa zaidi TUNAVYOPENDANA hawezi hata kuthubutu akaPM dawa zilizopitwa na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…