Ni mwanamume aliyechakachuliwa na Yesu! ana busara,hekima, heshima na maarifa!!
Sijisifu, Biblia inanisupport,, Kumchwa Bwana ni chanzo cha hekima na maarifa!
Dahh. I feel like flying kupata endorsement yako..lol! Nahisi Lizzy akisoma hapa naye atakuwa flattered..lol
Lizzy Mpendwa..:msela:
Nimetuma PM 3 naona bado sina majibu!
Au mpendwa kashaweka NO-FLY ZONE kwenye inbox yako?
Lizzy my dear utamkubali mme aliyeachika endapo yu serious? mie nilikuwa na mke ila tumetalikiana. unaonaje hapo?
usijali...nitakuwa head wa recruitment team ya mume wa Lizzy....so far you are the best!!!!
mdogo sana kwa akili na busara/hekima unayoonyesha kupitia posts zako......usitake kujua nilifikiri una miaka mingapi....l.o.l:hand:
Yaani kukaa JF kote bado hujamjua vizuri Lizzy..usikate tamaa mapema hivi! mpendwa bado ninapita pita..
Hahahaha!Inalipa hiyo!
Mbona bado mdogo. Si uvutevute kidogo kwanza hadi utimize 28. Mi ntakusubiri........When a man truly loves his woman the only thing he would ever want to change about her is HER LAST NAME...from her own to his!....... Jamani mi nataka mtu wakunipa jina lake!Kigezo ni kimoja tu...AWE NA MAPENZI YA KWELI ambayo ndio yatamsukuma kuniheshimu...kunijali na kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikimu! Kwa hisani ya MPENDWA umri wangu ni miaka 23!
ooh! yah. utafaa sana. sina hata haja ya kuhonga! ngoja nikatafute suti.. maana Lizzy atahitaji kuanza maisha ya ndoa faster..lol
usijali...nitakuwa head wa recruitment team ya mume wa Lizzy....so far you are the best!!!!
Kama ulikua mbaya na umejirekebisha then unastahili nafasi ya pili!Kama wewe ndo ulikosewa unastahili tulizo la moyo...kwahiyo unakaribishwa!Lizzy my dear utamkubali mme aliyeachika endapo yu serious? mie nilikuwa na mke ila tumetalikiana. unaonaje hapo?
Ah basi nije kumchukua dearest!
mmmmh
leo nina kazi