Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Ni mwanamume aliyechakachuliwa na Yesu! ana busara,hekima, heshima na maarifa!!
Sijisifu, Biblia inanisupport,, Kumchwa Bwana ni chanzo cha hekima na maarifa!

Haya bana, sijui Lizzy atatumia staili gani kuchuja wagombea
 
Dahh. I feel like flying kupata endorsement yako..lol! Nahisi Lizzy akisoma hapa naye atakuwa flattered..lol
Lizzy Mpendwa..:msela:

usijali...nitakuwa head wa recruitment team ya mume wa Lizzy....so far you are the best!!!!
 
Lizzy my dear utamkubali mme aliyeachika endapo yu serious? mie nilikuwa na mke ila tumetalikiana. unaonaje hapo?

Aisee!
Isije ikaonekana ni mpango wa kitambo kwama ulimtaliki ili umpate Lizzy, ngoja aseme Lizzy mwenyewe
 
usijali...nitakuwa head wa recruitment team ya mume wa Lizzy....so far you are the best!!!!

ooh! yah. utafaa sana. sina hata haja ya kuhonga! ngoja nikatafute suti.. maana Lizzy atahitaji kuanza maisha ya ndoa faster..lol
 
Nimetuma PM 3 naona bado sina majibu!
Au mpendwa kashaweka NO-FLY ZONE kwenye inbox yako?

Naangalia kila dakika ila hamna kitu!Au umekosea njia?
 
........When a man truly loves his woman the only thing he would ever want to change about her is HER LAST NAME...from her own to his!....... Jamani mi nataka mtu wakunipa jina lake!Kigezo ni kimoja tu...AWE NA MAPENZI YA KWELI ambayo ndio yatamsukuma kuniheshimu...kunijali na kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikimu! Kwa hisani ya MPENDWA umri wangu ni miaka 23!
Mbona bado mdogo. Si uvutevute kidogo kwanza hadi utimize 28. Mi ntakusubiri
 
ooh! yah. utafaa sana. sina hata haja ya kuhonga! ngoja nikatafute suti.. maana Lizzy atahitaji kuanza maisha ya ndoa faster..lol

naomba uwe na msimamo....hapo juu umesema bado unapita pita....mimi nitaku-dis qualify sasa hivi......kanunue hiyo suti kwa ajili ya interview....hatutaki kaptula nyeupe kama ya kwenye picha....l.o.l
 
ngoja niingie chumba cha maombi kwanza..isijekuwa haya ni maono yangu binafsi..lol, CPU nitakuombea ili uwe first choice, Jahmercy naona naye anaongeza kasi..lol
 
Lizzy my dear utamkubali mme aliyeachika endapo yu serious? mie nilikuwa na mke ila tumetalikiana. unaonaje hapo?
Kama ulikua mbaya na umejirekebisha then unastahili nafasi ya pili!Kama wewe ndo ulikosewa unastahili tulizo la moyo...kwahiyo unakaribishwa!
 
dah.dah..nitapata challenge sana ya kumtunza! ni bora ameshatamka wazi anataka mwanaume wa namna gani! lol..nahisi hekima zimemzidi

Jamani hata!Alafu sio kunitunza ni kutunzana!
 
Back
Top Bottom