Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niwaze mbali zaidi . . . .
Hivi Lizzy atakubali kweli kunifulia nguo zangu, kunipikia au ataleta hausi gel ? Au tutakuwa tunafanya zamu ya kuosha vyombo, kubeba mtoto???
Mpendwa ukimaliza kusali urudi......:decision:
he he he! Naona hrm unafanya ushaanza kazi.
mmh..kuna kitu gani kinaendelea hapa?
Ngoja niwaze mbali zaidi . . . .
Hivi Lizzy atakubali kweli kunifulia nguo zangu, kunipikia au ataleta hausi gel ? Au tutakuwa tunafanya zamu ya kuosha vyombo, kubeba mtoto???
Uniambie tu siku dearest!
kwa Lizzy niko makini sana....nikiboronga hapa sitapata kibarua kingine cha recruitment....l.o.l
Husninyo,habari yako binafsi jamani? em muombee Lizzy apate mume.....
mmh..kuna kitu gani kinaendelea hapa?
pamoja sana!! Mwaka huu hadi kieleweke.
Halafu kuna mjamaa fulani hivi anaongeaga ongeaga mambo ya mke.
Simuoni. Yule angemfaa lizzy wetu.
pamoja sana!! Mwaka huu hadi kieleweke.
Halafu kuna mjamaa fulani hivi anaongeaga ongeaga mambo ya mke.
Simuoni. Yule angemfaa lizzy wetu.
Nimepata majibu...kumbe yalikuwa ni maono yangu binafsi..dah!!
KWA WALIO SERIOUS,
I find Lizzy very intelligent, prudent, and she must also be very beautiful..
Lizzy I hope,kama hili jukwaa ni kwa ajili yako, you will find your sweetheart!
God bless u..
Vijana endeleeni kumwaga sera..huwezi jua.
sijui Lizzy alimpeleka wapi.....nilishamuonyesha Lizzy yule kijana
.....sasa sijui tena.....haya tuendelee hadi kieleweke kwa Lizzy wetu
Mbona unakata tamaa haraka hivyo?
Nani huyo?