Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Ngoja niwaze mbali zaidi . . . .

Hivi Lizzy atakubali kweli kunifulia nguo zangu, kunipikia au ataleta hausi gel ? Au tutakuwa tunafanya zamu ya kuosha vyombo, kubeba mtoto???

mtoto maadili A. Wasiwasi wa nini?
Sisi tumemmiss ubweche wa harusi bwana.
 
Mpendwa ukimaliza kusali urudi......:decision:

Nimepata majibu...kumbe yalikuwa ni maono yangu binafsi..dah!!
KWA WALIO SERIOUS,
I find Lizzy very intelligent, prudent, and she must also be very beautiful..

Lizzy I hope,kama hili jukwaa ni kwa ajili yako, you will find your sweetheart!

God bless u..

Vijana endeleeni kumwaga sera..huwezi jua.
 
he he he! Naona hrm unafanya ushaanza kazi.

kwa Lizzy niko makini sana....nikiboronga hapa sitapata kibarua kingine cha recruitment....l.o.l

Husninyo,habari yako binafsi jamani? em muombee Lizzy apate mume.....
 
Ngoja niwaze mbali zaidi . . . .

Hivi Lizzy atakubali kweli kunifulia nguo zangu, kunipikia au ataleta hausi gel ? Au tutakuwa tunafanya zamu ya kuosha vyombo, kubeba mtoto???

Mmh ntakufulia kama utaniandalia angalau breakfast!Ntakupikia ukinipa kampani jikoni!Vyombo utanisaidia mara moja moja kama hatuna housi geli!
 
kwa Lizzy niko makini sana....nikiboronga hapa sitapata kibarua kingine cha recruitment....l.o.l

Husninyo,habari yako binafsi jamani? em muombee Lizzy apate mume.....

pamoja sana!! Mwaka huu hadi kieleweke.
Halafu kuna mjamaa fulani hivi anaongeaga ongeaga mambo ya mke.
Simuoni. Yule angemfaa lizzy wetu.
 
sijui Lizzy alimpeleka wapi.....nilishamuonyesha Lizzy yule kijana

.....sasa sijui tena.....haya tuendelee hadi kieleweke kwa Lizzy wetu
 
Nimepata majibu...kumbe yalikuwa ni maono yangu binafsi..dah!!
KWA WALIO SERIOUS,
I find Lizzy very intelligent, prudent, and she must also be very beautiful..

Lizzy I hope,kama hili jukwaa ni kwa ajili yako, you will find your sweetheart!

God bless u..

Vijana endeleeni kumwaga sera..huwezi jua.

Mpendwa jamani!I'm sooo flattered!
 
sijui Lizzy alimpeleka wapi.....nilishamuonyesha Lizzy yule kijana

.....sasa sijui tena.....haya tuendelee hadi kieleweke kwa Lizzy wetu

aisee, nilitaka nimuoneshe lizzy, kumbe anamuelewa.
Aje hapa tuwafungishe ndoa. Mi sipendi maneno makavu kavu.
 
pamoja sana!! Mwaka huu hadi kieleweke.
Halafu kuna mjamaa fulani hivi anaongeaga ongeaga mambo ya mke.
Simuoni. Yule angemfaa lizzy wetu.

Jamani Hus na dearest wangu mnanijali mpaka raha!
 
Back
Top Bottom