Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Lizzy mimi niko tayari kwa moyo mweupe kama sufu safi.... lakini je uko tayari kuwa chini ya huyu bibie niliyenae hapa? Pamoja na wivu alonao mpaka hataki nipige picha peke yangu lakini ameniruhusu kuongeza. Kama uko tayari nijiandae kuja kutambulishwa!!!

Ukewenza sitaki!Tutaishia kuekeana chumvi kwenye chai bure!
 
Lizzy, kumbe na wewe uko sokoni??
Lakini hekima yako, na busara zako humu jamvini zitakupatia yule umpendaye..Mungu akupe haja ya moyo wako..I admire you..
all the best

Ila hujaweka umri wako?? itatusaidia.lol
 
Hahahaha!Sasa dearest we ndo wakuchukua makapi?Wawili wa mwisho kwenye mchujo tunagawana!

Jamani Lizzy kweli wanijali.....sawa ukishachagua...yule first runner up,napewa mimi....swali ni je atanipenda while alikutaka wewe??
 
Okey les thrash about MEN and MAN coz it can lead to misunderstanding I dont want
But are you Real SERIOUS?
Vere vere!Unataka kuniunganisha na mtu?
 
Lizzy, kumbe na wewe uko sokoni??
Lakini hekima yako, na busara zako humu jamvini zitakupatia yule umpendaye..Mungu akupe haja ya moyo wako..I admire you..
all the best

Ila hujaweka umri wako?? itatusaidia.lol

Asante sana mpendwa wangu!Ngoja niedit nichomekee umri!
 
Jamani Lizzy kweli wanijali.....sawa ukishachagua...yule first runner up,napewa mimi....swali ni je atanipenda while alikutaka wewe??

Sana dearest!Mmh hata usishangae akikupenda zaidi yangu!
 
Jamani msimfanyie mzaha lizzy. Mi nakapenda, ningekuwa mwanaume pm yangu ingekuwa ya kwanza.
All the best dear. Utupe feedback.
 
Sana dearest!Mmh hata usishangae akikupenda zaidi yangu!

kweli dearest,huwezi jua....nahisi kama huu ndo mwaka wangu wa kutoka....na hivi umeonyesha njia basi twaweza toka wote.....l.o.l
 
Back
Top Bottom