Nataka kubadilisha jina la ukoo!

Nataka kubadilisha jina la ukoo!

....unajua Lizzy ameumbwa na kaumbika.. Hebu ngoja nikapate kibali kwa aliyemuumba kwanza! akinipa go ahead, sina hata haja ya interview..lol..
 
Jamani mi najaribu tu, hata simaanishi...
Vipi kuhusu Lizzy Mphamvu Letsholonyane?
 
Ngoja niwaze mbali zaidi . . . .

Hivi Lizzy atakubali kweli kunifulia nguo zangu, kunipikia au ataleta hausi gel ? Au tutakuwa tunafanya zamu ya kuosha vyombo, kubeba mtoto???
 
ngoja niingie chumba cha maombi kwanza..isijekuwa haya ni maono yangu binafsi..lol, CPU nitakuombea ili uwe first choice, Jahmercy naona naye anaongeza kasi..lol

Hahahaha! kasi yangu ya kinyonga lazima nijipatie jiko.
 
Duh sijui utanikubali Mi-Alhaji; ila ukubali baadae nioe wengine watatu ili muwe Wanne!!
 
usijali....hata matangazo ya kazi yanawekwaga tu ili mradi kutimiza sheria....watu wanasindikiza tu mwenye ajira anajulikana....:wink2:

Hehe kama uchaguzi wa kufuata protokoli tu huku kiongozi ameshajulikana!
 
naomba uwe na msimamo....hapo juu umesema bado unapita pita....mimi nitaku-dis qualify sasa hivi......kanunue hiyo suti kwa ajili ya interview....hatutaki kaptula nyeupe kama ya kwenye picha....l.o.l

he he he! Naona hrm unafanya ushaanza kazi.
 
....unajua Lizzy ameumbwa na kaumbika.. Hebu ngoja nikapate kibali kwa aliyemuumba kwanza! akinipa go ahead, sina hata haja ya interview..lol..

Harakisha embu!
 
Back
Top Bottom