Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,628
- 3,535
apa atakuwa anapita tu ......this world is not her home...
atarudi baadaye....keshafika home sasa...l.o.l
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
apa atakuwa anapita tu ......this world is not her home...
just welcoming you.....
nimeongezewa mshahara, wazembe watakoma kitaani.
bek to ze topik: no komenti
husninyo njoo lab haraka kabla sijalog out
napenda kutuma salam kwa lizzy hapo kwa mfuga mbwa na michelle akiwa uwanja wa fisi bila kumsahau maria roza huko mwari hakogi, naomba studio iwazawadie wapendwa hawa wimbo wa ngapulila source ya zilipendwa.
bek to ze topik: still no komenti

nilikuwa namsema aongeze bidii na kaongeza....umeona hiyo mistari hapo chini.....Lizzy please consider CPU
aaw ...so romantic....kwa mujibu wa Miss Judith, utakuwa umentongoza? :wink2🙁hvi yule mtu wangu umenionea mpz)
napenda kutuma salam kwa lizzy hapo kwa mfuga mbwa na michelle akiwa uwanja wa fisi bila kumsahau maria roza huko mwari hakogi, naomba studio iwazawadie wapendwa hawa wimbo wa ngapulila source ya zilipendwa.
bek to ze topik: still no komenti
yaani natapika goldi kifuani halaf nadondoka na pensi la maiko jodan, hakyanani nitakula mpaka mawaifu wa mawaziri mwaka huu. yaani niko fulu wallet.Na wkend ndo hii!
napenda kutuma salam kwa lizzy hapo kwa mfuga mbwa na michelle akiwa uwanja wa fisi bila kumsahau maria roza huko mwari hakogi, naomba studio iwazawadie wapendwa hawa wimbo wa ngapulila source ya zilipendwa.
bek to ze topik: still no komenti
........When a man truly loves his woman the only thing he would ever want to change about her is HER LAST NAME...from her own to his!....... Jamani mi nataka mtu wakunipa jina lake!Kigezo ni kimoja tu...AWE NA MAPENZI YA KWELI ambayo ndio yatamsukuma kuniheshimu...kunijali na kufanya kazi kwa bidii ili tuweze kujikimu! Kwa hisani ya MPENDWA umri wangu ni miaka 23!
nimeongezewa mshahara, wazembe watakoma kitaani.
bek to ze topik: no komenti
husninyo njoo lab haraka kabla sijalog out
Pwani wapi!Mbona hata mimi mtoto wa kibara najua!
dah! kuna forum flani wameninunua kila nikiposti wananilipa kutokana ma maushauri yangu kuwa vere effective. lakini nitalejea bana yaani hatujamalizana ujue.ha ha ha!
Nilikumiss hadi nikachoka.
ukiwa na mshahara ule tulikoma....sasa wamekuongezea mimi naona niondoke tu :wink2::hand::hand::hand:
yaani natapika goldi kifuani halaf nadondoka na pensi la maiko jodan, hakyanani nitakula mpaka mawaifu wa mawaziri mwaka huu. yaani niko fulu wallet.