hiyo link nmempa atakuts malalamishi kule mm mwenyewe mwanzoni nilikula ila baadae nilipigwa pesa ndefu mno.Hizo hela za kubeti weka akiba uje ufanye biashara au kilimo, wanachokumbana nacho wenzio wanajua wenyewe ila hawatakwambia. Hamna pesa rahisi tufanye kazi mkuu!
Muache aje amfaidishe mhindi ila huko hata kama nikirudi ujue nakuja kwa mwendo wa jero tumepigwa palefu mno aisee hapafai huko.wenzio wanawaza namna ya kujiondoa, wewe unafikiria kuingia. nakushauri achana na kilevi hicho. huwezi amnini imefikia hatua hadi nashindwa kulipia pango, misosi nyumbani hadi hadi wife achakalike gengeni kwake, biashara zangu zimedrop kwa kiasi kikubwa faida na mtaji amebeba muhindi. nakushauri mkuu achana na ushetani huo haufai hata kidogo.
mkuu hamna option ambayo siijui zote nimepigwa za uso. ilifikia hatua hadi najiuliza labda nina gundu mbona sili kama wengine? nikagundua kumbe wengi tunalia kilio kimoja. na nikila lazima pesa yake imrudie na faida juuMuache aje amfaidishe mhindi ila huko hata kama nikirudi ujue nakuja kwa mwendo wa jero tumepigwa palefu mno aisee hapafai huko.
Dah! kunasiku ilikuwa jumamosi nikampiga mhindi inplay kama 57000 hivi ilijuwa mida ya asubuhi nili bet kufikia jion nimesha pigwa ka laki mbili hivi kwa sasa naangalia tu alafu tulivyo wajinga ukiliwa unajipa moyo unaweka pesa nyingine kwakujua utarudisha [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mkuu hamna option ambayo siijui zote nimepigwa za uso. ilifikia hatua hadi najiuliza labda nina gundu mbona sili kama wengine? nikagundua kumbe wengi tunalia kilio kimoja. na nikila lazima pesa yake imrudie na faida juu
huo mchezo ndivyo ulivyo, ukiliwa unajipa tumaini ipo siku utarudisha pesa zako. nakumbuka huyu mpuuzi aliyenifundisha huu mchezo nilianzia Mbet akanipiga wee nakumbuka sikuwahi kula hata siku moja. nikakimbilia sportpesa, nikapigwa weeee napo sikuwahi kula hata buku mbili. nikakimbilia princess nikapgiwa za USO weee nakumbuka nilikuwa Mara mbile vihela vya bando vingne nikamrudishia na faifa juu! nikakimbilia PremierBet nikapigwa wee nakumbuka niliupandisha mtaji hadi ukafikia 50k lakini mtaji ulipukutika nikamwongezea na pesa mingine mingi. nikakimbilia Play master nakumbuka niliibetia tu ile bonus akaichukua kanji sikuwahi kidepost. KWA SASA NIPO 1XBET HAPA NDIO NAONA WALAU UAFADHALI WA KULA UPO JAPO MUHINDI HANA MZAHA YAANI HAKUNA OPTION RAHISI ASIKWAMBIE MTU. HAPA NAWAZA NIACHANE NA KAZI HII COZ INAKONIPELEKA SIO KUZURI KWAKWELI.Dah! kunasiku ilikuwa jumamosi nikampiga mhindi inplay kama 57000 hivi ilijuwa mida ya asubuhi nili bet kufikia jion nimesha pigwa ka laki mbili hivi kwa sasa naangalia tu alafu tulivyo wajinga ukiliwa unajipa moyo unaweka pesa nyingine kwakujua utarudisha [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Njoo PM nikufundisheWakuu msaada kwa anaejua jinsi ya kubeti anifundishe hatua kwa hatua, kwa kupitia simu ya mkononi
Nataka nitafute mtaji niingie kulima tu au nirudi zangu chuo nikasome tu kubet labda uwe unabet kwa kujifurahisha tu napo unaweka 1000 au 2000 na sio stake ya laki mbili tufanyeni kazi tu.huo mchezo ndivyo ulivyo, ukiliwa unajipa tumaini ipo siku utarudisha pesa zako. nakumbuka huyu mpuuzi aliyenifundisha huu mchezo nilianzia Mbet akanipiga wee nakumbuka sikuwahi kula hata siku moja. nikakimbilia sportpesa, nikapigwa weeee napo sikuwahi kula hata buku mbili. nikakimbilia princess nikapgiwa za USO weee nakumbuka nilikuwa Mara mbile vihela vya bando vingne nikamrudishia na faifa juu! nikakimbilia PremierBet nikapigwa wee nakumbuka niliupandisha mtaji hadi ukafikia 50k lakini mtaji ulipukutika nikamwongezea na pesa mingine mingi. nikakimbilia Play master nakumbuka niliibetia tu ile bonus akaichukua kanji sikuwahi kidepost. KWA SASA NIPO 1XBET HAPA NDIO NAONA WALAU UAFADHALI WA KULA UPO JAPO MUHINDI HANA MZAHA YAANI HAKUNA OPTION RAHISI ASIKWAMBIE MTU. HAPA NAWAZA NIACHANE NA KAZI HII COZ INAKONIPELEKA SIO KUZURI KWAKWELI.
Huko hapafai [emoji23] [emoji23] [emoji23] niluwa nmeweka pesa yakulimia mwaka huu nikasema nibet ili niongeze mtaji kilicho nikuta Mungu ndiye anajua [emoji23][emoji23][emoji23]jamani nimeliwa hela mpaka nahc kuchanganyikiwa
huko acha tuHuko hapafai [emoji23] [emoji23] [emoji23] niluwa nmeweka pesa yakulimia mwaka huu nikasema nibet ili niongeze mtaji kilicho nikuta Mungu ndiye anajua [emoji23][emoji23][emoji23]