Nataka kubeti

Nataka kubeti

poleni,,

mie nilimla 1 million huyo mnayemwita premier betting,,

hizi elf ishirini ,arobaini, nk

[emoji16] [emoji16] [emoji16] sijawai kujuta
 
huko acha tu
Sitaki kuona kabisa mtu akipotea alafu unakuwa addicted unajua hat kama unaliwa ndio maana unakuta mtu anasema mapambano yanaendelea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
tatizo wengi mnachepuka,, mara mbet mara sportpesa mara meridianbet,,nk

tulia app moja tu, huko kurukaruka ndo mana mnapigwa,,

tafuta opptions ambayo unaiweza,, huku leo umepga GG,, kesho unaweka handcape,, keshokutwa unaweka normal,,

chagua options unayoimudu,, mwenzio akila ktk GG usiige,, huenda mwenzio ni mjuzi wa GG ,

kalagabaoo !!!!
 
mm huwa naeshimu hisia zangu,, jibu la kwanza mara nyingi lenyewe,,

ukiona mechi inakupa wakat ngumu kutabiri iache, tafuta za uhakika tu,,

kaa mbali na mechi ambazo kuweka utabiri unafikiria zaidi ya mara tatu,,

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ,,
 
Somo lako ni zuri aiseee nmekuelewa bure
 
mm huwa naeshimu hisia zangu,, jibu la kwanza mara nyingi lenyewe,,

ukiona mechi inakupa wakat ngumu kutabiri iache, tafuta za uhakika tu,,

kaa mbali na mechi ambazo kuweka utabiri unafikiria zaidi ya mara tatu,,

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ,,
unakula unakaa kwa shemeji

Sio makosa yako
 
tatizo wengi mnachepuka,, mara mbet mara sportpesa mara meridianbet,,nk

tulia app moja tu, huko kurukaruka ndo mana mnapigwa,,

tafuta opptions ambayo unaiweza,, huku leo umepga GG,, kesho unaweka handcape,, keshokutwa unaweka normal,,

chagua options unayoimudu,, mwenzio akila ktk GG usiige,, huenda mwenzio ni mjuzi wa GG ,

kalagabaoo !!!!
Sure tatizo watu wanaweweseka mie km mie option nayo kulaga ni ya home team and away team goals na ndo nazo betiaga kila cku
 
Siku ya kwanzaa niliyobet tu Nilikulaa 42000 yanii nlikuwa hata sijuii kubet.. Hapo katikati nkaliwaa sana lakini vipesa vidogovidogo maana nlikuwa nabet ilimradi maana nshazoea kubet na kuacha siwezii... Ilaa week hii nishamla 85000 so inanisaidia kidogo kusogeza siku.. By the way Kila mtu ana bahati yakee.. So usikatee tamaa.. Unaweza weka.mechi 10 ukashindaa na ukaweka mechi 3 ukaliwaa
 
Nenda kapime hospital Kama Una pressure naomba usije huku maana tulio tunaonja joto LA jua Japo kuna wakati tunasahau shida
 
Siku ya kwanzaa niliyobet tu Nilikulaa 42000 yanii nlikuwa hata sijuii kubet.. Hapo katikati nkaliwaa sana lakini vipesa vidogovidogo maana nlikuwa nabet ilimradi maana nshazoea kubet na kuacha siwezii... Ilaa week hii nishamla 85000 so inanisaidia kidogo kusogeza siku.. By the way Kila mtu ana bahati yakee.. So usikatee tamaa.. Unaweza weka.mechi 10 ukashindaa na ukaweka mechi 3 ukaliwaa
kweli kabisa kiongozi,
 
nimempa spurs dhidi ya juve,kshapgwa mbili ndani dk nane.hela yangu bora ningenunua pakti ya sigara..maana nashndwa hata kata gogo kisa alosto
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bora ukachimbe mtaro insu ya kubeti temana Nayo inafirisi hatari.
Pia kumbuka sheria kuu ya kubeti ni HOPE BUT NEVER EXPECT!
 
Back
Top Bottom