huo mchezo ndivyo ulivyo, ukiliwa unajipa tumaini ipo siku utarudisha pesa zako. nakumbuka huyu mpuuzi aliyenifundisha huu mchezo nilianzia Mbet akanipiga wee nakumbuka sikuwahi kula hata siku moja. nikakimbilia sportpesa, nikapigwa weeee napo sikuwahi kula hata buku mbili. nikakimbilia princess nikapgiwa za USO weee nakumbuka nilikuwa Mara mbile vihela vya bando vingne nikamrudishia na faifa juu! nikakimbilia PremierBet nikapigwa wee nakumbuka niliupandisha mtaji hadi ukafikia 50k lakini mtaji ulipukutika nikamwongezea na pesa mingine mingi. nikakimbilia Play master nakumbuka niliibetia tu ile bonus akaichukua kanji sikuwahi kidepost. KWA SASA NIPO 1XBET HAPA NDIO NAONA WALAU UAFADHALI WA KULA UPO JAPO MUHINDI HANA MZAHA YAANI HAKUNA OPTION RAHISI ASIKWAMBIE MTU. HAPA NAWAZA NIACHANE NA KAZI HII COZ INAKONIPELEKA SIO KUZURI KWAKWELI.