1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Sitaki kuona kabisa mtu akipotea alafu unakuwa addicted unajua hat kama unaliwa ndio maana unakuta mtu anasema mapambano yanaendelea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]huko acha tu
Unatumia mbinu gan?poleni,,
mie nilimla 1 million huyo mnayemwita premier betting,,
hizi elf ishirini ,arobaini, nk
[emoji16] [emoji16] [emoji16] sijawai kujuta
za kawaida tu, hizo hizo unazozijua weweUnatumia mbinu gan?
tatizo lako hufuati hisia zako,mm sio siri nimeishiwa mbinu za kubet naliwa sana hela
Somo lako ni zuri aiseee nmekuelewa buremm huwa naeshimu hisia zangu,, jibu la kwanza mara nyingi lenyewe,,
ukiona mechi inakupa wakat ngumu kutabiri iache, tafuta za uhakika tu,,
kaa mbali na mechi ambazo kuweka utabiri unafikiria zaidi ya mara tatu,,
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ,,
Ushekata tamaa, subiri kuolewa.Wakuu msaada kwa anaejua jinsi ya kubeti anifundishe hatua kwa hatua, kwa kupitia simu ya mkononi
unakula unakaa kwa shemejimm huwa naeshimu hisia zangu,, jibu la kwanza mara nyingi lenyewe,,
ukiona mechi inakupa wakat ngumu kutabiri iache, tafuta za uhakika tu,,
kaa mbali na mechi ambazo kuweka utabiri unafikiria zaidi ya mara tatu,,
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ,,
Sure tatizo watu wanaweweseka mie km mie option nayo kulaga ni ya home team and away team goals na ndo nazo betiaga kila ckutatizo wengi mnachepuka,, mara mbet mara sportpesa mara meridianbet,,nk
tulia app moja tu, huko kurukaruka ndo mana mnapigwa,,
tafuta opptions ambayo unaiweza,, huku leo umepga GG,, kesho unaweka handcape,, keshokutwa unaweka normal,,
chagua options unayoimudu,, mwenzio akila ktk GG usiige,, huenda mwenzio ni mjuzi wa GG ,
kalagabaoo !!!!
ndiyo mkuu,, hongera kwa kutambua hiloSure tatizo watu wanaweweseka mie km mie option nayo kulaga ni ya home team and away team goals na ndo nazo betiaga kila cku
kweli kabisa kiongozi,Siku ya kwanzaa niliyobet tu Nilikulaa 42000 yanii nlikuwa hata sijuii kubet.. Hapo katikati nkaliwaa sana lakini vipesa vidogovidogo maana nlikuwa nabet ilimradi maana nshazoea kubet na kuacha siwezii... Ilaa week hii nishamla 85000 so inanisaidia kidogo kusogeza siku.. By the way Kila mtu ana bahati yakee.. So usikatee tamaa.. Unaweza weka.mechi 10 ukashindaa na ukaweka mechi 3 ukaliwaa
nimempa spurs dhidi ya juve,kshapgwa mbili ndani dk nane.hela yangu bora ningenunua pakti ya sigara..maana nashndwa hata kata gogo kisa alostokweli kabisa kiongozi,
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimempa spurs dhidi ya juve,kshapgwa mbili ndani dk nane.hela yangu bora ningenunua pakti ya sigara..maana nashndwa hata kata gogo kisa alosto