Nataka kuchanganya Melafine na Dawa mseto, je sinta hatarisha afya yangu?

Nataka kuchanganya Melafine na Dawa mseto, je sinta hatarisha afya yangu?

Nilikua nashauri hivii jukwaahili (JF DOCTOR ) watu tusinge leta maskhara/Ukatuni , sababu utakuta mtu anaumwa kweli alafu akijibiwa kimaskhara anakata tamaa. kwanini maskhara tusiyaache kulekule CC, MMU na kwengine?
 
Mkuu.@Kitoabu Pole sana kama kweli unayo Homa jaribu dawa yangu hii huenda ikakusaidia Upate Malimau 2 na kitunguu Saumu punje 3 Kitunguu saumu unakiponda kisha unakamuwa hayo malimau kama juisi unachanganya pamoja Kitunguu saumu na hayo Malimau, unakula kwa muda wa siku 3 Asubuhi, mchana na usiku fanya hivyo hivyo. Kisha njoo unipe feedback. usikose kwenda kumuona Daktari.
Mkuu tayari nimeshaamka hapa nilipo nimemucha mkewangu kenda kutafuta limao (vitunguu swaumu ndani vipo) akirudi anitengenezee hiyo juice nianze kunywa. Ila namshukuru Allah subhana wataala leo nimeamka nanguvu kidogo hapa nahisi maumivu ya kichwa kwambaali.
 
Back
Top Bottom