Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tayari nimeshaamka hapa nilipo nimemucha mkewangu kenda kutafuta limao (vitunguu swaumu ndani vipo) akirudi anitengenezee hiyo juice nianze kunywa. Ila namshukuru Allah subhana wataala leo nimeamka nanguvu kidogo hapa nahisi maumivu ya kichwa kwambaali.Mkuu.@Kitoabu Pole sana kama kweli unayo Homa jaribu dawa yangu hii huenda ikakusaidia Upate Malimau 2 na kitunguu Saumu punje 3 Kitunguu saumu unakiponda kisha unakamuwa hayo malimau kama juisi unachanganya pamoja Kitunguu saumu na hayo Malimau, unakula kwa muda wa siku 3 Asubuhi, mchana na usiku fanya hivyo hivyo. Kisha njoo unipe feedback. usikose kwenda kumuona Daktari.