Nataka kuchanganya Melafine na Dawa mseto, je sinta hatarisha afya yangu?

Nilikua nashauri hivii jukwaahili (JF DOCTOR ) watu tusinge leta maskhara/Ukatuni , sababu utakuta mtu anaumwa kweli alafu akijibiwa kimaskhara anakata tamaa. kwanini maskhara tusiyaache kulekule CC, MMU na kwengine?
 
Mkuu tayari nimeshaamka hapa nilipo nimemucha mkewangu kenda kutafuta limao (vitunguu swaumu ndani vipo) akirudi anitengenezee hiyo juice nianze kunywa. Ila namshukuru Allah subhana wataala leo nimeamka nanguvu kidogo hapa nahisi maumivu ya kichwa kwambaali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…