Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Ndugu zangu nina siku ya nne niko kitandani naumwa. (sijui malaria) siku ya kwanza kujihisi homa nili nunua Melafine nikameza pamoja na panado nakumbuka ilikua j/mosi usiku chaajabu homa haikukata j/pili. niliendelea kumezakumeza panado ila hali ni hile hile. Jana usiku siku lala kabisa kwanjisi hali ilivyo kua mbaya. leo nimee nda Hospital nimepewa Dawa mseto kabla ya kumeza kuna mtu kani shauri nisimeze kwa kua nilikwisha meza Mela fine. nampaka sasa kweli sija meza zaidi ya panado tu. naombeni munisaidie madokta wangu nimeze au nisimeze? nisipo eleweka muni samehe maana hali yangu sinzuri