Nataka kuchapisha fulana saba kumuenzi mke wangu

Mke ni wako, tshirt moja ya yako, moja yake, moja ya ataayezaliwa na na NYINGINE YA BABA YAKE YAKE MZAZI.....wewe ni baba wa kambo wa ataayezaliwa au? Nyoosha kiswahili.
 
Siku akijifungua uprint zingine MKE WANGU KAJIFUNGUA

Siku akiwa kwenye joto na anahitaji mtoto mwingine uprint MKE WANGU YUPO KWENYE JOTO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ULIMWENGU wa sasa uliojaa chuki bila sababu unawatangazia mkeo mjamzito?

Unafikiri wao wanapenda sana kusikia hizo taarifa?

Print uone kama mimba haijafikisha mwaka na miezi

penda maisha ya PRIVACY kama wana wa mfalme

Hamna faida yeyote katika kutangaza tangaza au kutoa taarifa za familia yako
 

Hapo moja la baba yake mzazi[emoji23][emoji23]Nimecheka hadi machozi yametoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…