Nataka kuchapisha fulana saba kumuenzi mke wangu

Nataka kuchapisha fulana saba kumuenzi mke wangu

Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa

naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.
Mke ni wako, tshirt moja ya yako, moja yake, moja ya ataayezaliwa na na NYINGINE YA BABA YAKE YAKE MZAZI.....wewe ni baba wa kambo wa ataayezaliwa au? Nyoosha kiswahili.
 
Siku akijifungua uprint zingine MKE WANGU KAJIFUNGUA

Siku akiwa kwenye joto na anahitaji mtoto mwingine uprint MKE WANGU YUPO KWENYE JOTO
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ULIMWENGU wa sasa uliojaa chuki bila sababu unawatangazia mkeo mjamzito?

Unafikiri wao wanapenda sana kusikia hizo taarifa?

Print uone kama mimba haijafikisha mwaka na miezi

penda maisha ya PRIVACY kama wana wa mfalme

Hamna faida yeyote katika kutangaza tangaza au kutoa taarifa za familia yako
 
Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa

naprint matshirt saba,moja langu ,moja lake,moja la mtoto atakayezaliwa, moja la baba yake mzazi ,moja la mama yake mzazi,moja la baba yangu mzazi,na moja la mama yangu mzazi.

Hapo moja la baba yake mzazi[emoji23][emoji23]Nimecheka hadi machozi yametoka.
 
Back
Top Bottom